Hizi kozi ukisoma unapoteza muda tu

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
567
Kama mdogo wako alisoma HGL,HGK,HGE,HKL.

Kama O-level ana principle passes za Physics, Bios na Chemistry mwambie asiende degree kama uwezo wa kulipia diploma ya afya upo.

Kama haupo basi afuate tu mkopo chuoni ila hakuna faida ya degree ya izo comb kama hauna direct connection.
 
Upo sahihi kiasi fulani
 
Kuna kozi nzuri wanaweza soma hao madogo wa hizo tahasusi,,mfano kuna kozi inatolewa Water Institute-WI Ubungo inaitwa Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation ni nzuri mno
 
Uzuri wake nini? Framing ya jina au?
 
Kama mdogo wako alisoma HGL,HGK,HGE,HKL.

Kama O-level ana principle passes za Physics, Bios na Chemistry mwambie asiende degree kama uwezo wa kulipia diploma ya afya upo.

Kama haupo basi afuate tu mkopo chuoni ila hakuna faida ya degree ya izo comb kama hauna direct connection.

Kila mtu na ratiba ya Maisha yake, mwingine anakuwa tu ili akatunze estate ya wazazi wake.
 
Back
Top Bottom