Search results

  1. Petro E. Mselewa

    Ndugu zetu TANESCO, tatizo nini tena?

    Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi. Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko matumizi yetu watanzania. Sasa haya ya kukatikakatika kwa umeme yanatokana na nini? Kama ni mgawo tena...
  2. Petro E. Mselewa

    Kwanini RC Makonda amekinzana hadharani na msimamo wa Rais Samia?

    Tarehe 13 mwezi uliopita, Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alitoa msimamo wake kama mkuu wa nchi na wa CCM kuhusu 'makundi' na 'watoto' wake kisiasa. Katika hafla ya kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, Rais Samia alisema kwa umakini, umadhubuti na wazi kabisa kuwa...
  3. Petro E. Mselewa

    Ahmed Ally, Msemaji wa Simba, Mungu anakuona!

    Kuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika. Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha washabiki na wanachama wa Simba kuwa Ahly anakufa kifo kibaya na HATOKI BENJAMIN MKAPA. Baada ya kupigwa...
  4. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Wote, hadi sasa, wana kadi tatu za njano. Ni hawa: RISK OF SUSPENSION This table lists all players who are injured, sick and suspended, and those, who are at risk of facing suspension. Compact Detailed Player Age Yellow cards Appearances Cards/Match Ronwen Williams Goalkeeper 32...
  5. Petro E. Mselewa

    Imedhihirika: Yanga Vs Mamelodi Sundowns ndiyo mechi kubwa kuliko zote hatua ya robo fainali, Simba ni kama wamejikatia tamaa kabisa

    Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo. Kuanzia wachambuzi...
  6. Petro E. Mselewa

    Klabu Bingwa Barani Afrika: ASEC Mimosas yatangulia robo fainali

    Kufuatia ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Galaxy hivi punde na kimahesabu, ASEC Mimosas wametinga hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Hadi sasa, ASEC wamefikisha alama 10 huku ikibaki michezo miwili. Simba wana alama 5, Galaxy alama 4 na Wydad alama 3. Kimahesabu, Simba au Galaxy...
  7. Petro E. Mselewa

    Klabu Bingwa Dunia: Al Ahly yatota kwa Fluminense, yachapwa 2-0

    Mabingwa wa soka wa Afrika kwa ngazi ya vilabu Al Ahly ya Misri imechapwa mabao 2-0 na mabingwa wa vilabu wa Amerika ya Kusini Fluminense ya Brazil. Fluminence sasa imetinga fainali ya Ijumaa hii na inamsubiri mshindi wa kesho kati ya mabingwa wa vilabu vya Ulaya Manchester City ya Uingereza...
  8. Petro E. Mselewa

    Kinana akemea makada wanaowadhalilisha watendaji wa Serikali majukwaani

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Abdurahman Kinana amekemea tabia ya viongozi na makada wa CCM kuwadhalilisha watendaji wa Serikali kwenye majukwaa ya kisiasa. Pamoja na kukiri kuwa chama tawala kinaisimamia Serikali na kuishauri, Kinana amesema si vyema viongozi na makada wa chama tawala...
  9. Petro E. Mselewa

    Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  10. Petro E. Mselewa

    Mamelodi Sundowns watwaa ndoo nyingine

    Baada ya timu ya wanaume ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutwaa kombe la African Football League (AFL), jana ilikuwa zamu ya timu ya wanawake ya Mamelodi kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afika kwa Wanawake. Jana, Mamelodi Women walishinda mabao 3-0 dhidi ya SC Casablanca Women ya Morocco. Ni...
  11. Petro E. Mselewa

    Swali la ufahamu: Hivi CCM hutoa taarifa ya mikutano ya hadhara au/na maandamano yao kwa Jeshi la Polisi?

    Waungwana wa JF, husikeni na mada ya hapo juu. Nikiri wazi kuwa katika kufuatilia kwangu siasa za Tanzania kupitia redio, magazeti, runinga na mitandao ya kijamii, sijawahi kuona au kusikia kuhusu barua iliyowasilishwa na CCM kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) waweze kuendesha maandamano ya...
  12. Petro E. Mselewa

    Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly AFL

    Kwa huu mpira wa fainali ya AFL mkondo wa kwanza ninaoushuhudia hapa, nathubutu kusema Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly. Simba na wenzao wote wanacheza mpira wa taratibu. Wote wana wachezaji wazito. Hakika, kama Simba angepangwa na Wydad au Mamelodi hii, tungepata aibu ya kitaifa. Wababe...
  13. Petro E. Mselewa

    Kwanini Cloutus Chota Chama huwa ha-shine Simba inapocheza na Yanga?

    Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida. Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga. Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa. Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!? Hamsa!
  14. Petro E. Mselewa

    Ubora wa Yanga uko hapa..

    Najiepusha kuzungumzia matokeo ya leo pale Kwa Mkapa. Kwa Yanga hii, Simba haifui dafu. Simba walipotoka sare mbili na Al Ahly nilisema kuwa walikutana vibonde watupu. Wababe wa AFL wanacheza baadaye: Wydad v Mamelodi Ilipotoka ratiba kuonesha kuwa Yanga amepangiwa mechi nne 'ngumu' mfululizo...
  15. Petro E. Mselewa

    Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
  16. Petro E. Mselewa

    Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

    Waungwana wa JF nawasalimu, Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko...
  17. Petro E. Mselewa

    AFL: Pumba zote zimeshajitenga na mchele

    Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea. Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli...
  18. Petro E. Mselewa

    Epuka porojo, zijue takwimu za Yanga na Ihefu. Yanga iko juu!

    Tafadhali mfuatiliaji na mpenzi wa soka, epuka porojo. Puuza upuuzi unaoenezwa kuwa Yanga, bingwa mtetezi wa Tanzania, ni kibonde wa Ihefu FC ya kule Mbarali Mbeya. Tangu Ihefu ipande Ligi Kuu, imecheza na Yanga mara tano. Kati ya hizo, Yanga imeshinda mara tatu. Ihefu imeshinda mara mbili...
  19. Petro E. Mselewa

    Tuwe wakweli, spirit ya Yanga ya kusawazisha na kushinda haipo Simba

    Leo si mara ya kwanza kwa Yanga kusawazisha na kushinda. Tena kwenye mechi zenye tension kubwa. Waliwahi kufanya hivyo kwa Coastal Union kwenye Azam Confederation Cup. Yanga wakarudia tena katika mchezo na Azam (wa pili kabla ya huu wa leo). Na leo tena wamerudia hilo jambo. Kupambana...
  20. Petro E. Mselewa

    Nabi 'chali' Klabu Bingwa Afrika

    Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya Tunisia. FAR Rabat wamepigwa nje-ndani baada ya kupoteza kwa 1-0 na 1-2 kwa mechi za ugenini na...
Back
Top Bottom