Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Mabingwa wa soka wa Afrika kwa ngazi ya vilabu Al Ahly ya Misri imechapwa mabao 2-0 na mabingwa wa vilabu wa Amerika ya Kusini Fluminense ya Brazil.
Fluminence sasa imetinga fainali ya Ijumaa hii na inamsubiri mshindi wa kesho kati ya mabingwa wa vilabu vya Ulaya Manchester City ya Uingereza na Urawa Red Diamonds ya Japan ambao ni mabingwa wa vilabu vya Asia.
Al Ahly alianza vyema mchezo huo kabla ya kupotezwa na Fluminense kwenye kipindi cha pili. Fluminense iliyokuwa ikiongozwa na wakongwe Marcelo na Philipe Melo iliwapoteza kabisa Al Ahly kwenye kipindi cha pili.