Kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ametangaza kuachana na Raja Casablanca ya Morocco, jana Jumatatu, Agosti 31, 2026.
Nabi anaondoka Raja Casablanca akiwa ameinoa timu hiyo kwa siku 81 tu tangu alipojiunga nayo, Juni 12, 2026.
Inatajwa kwamba Raja Casablanca imeamua kuachana na Nabi...