Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano.

Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si level yao.

Kuanzia mechi ya Asec, Galaxy na hata ya jana ya Wydad, Simba wamekuwa na lengo moja tu: kuzuia kufungwa. Ni kuzuia tu mwanzo mwisho. Back-passes na kubutua kukatamalaki.

Wachezaji wako hoi na hawana maarifa yoyote. Yaani wenye viwango vya mashindano wawe na goli moja la penati katika mechi tatu!?

Haya sasa, Simba nao wanashika mkia kwenye kundi lao. Simba mjifunze kubakisha maneno. Na bahati mbaya iliyopo ni kuwa Wydad ndiyo kwanza wameanza kukusanya alama kwao.
 
Nani kawaambia muingalie Simba? Mbona mnatapatapa? Simba ishajijengea Class yake..na haya ni mapito tuu..kama wydad anapigwa Simba ni nani? AHLY anapigwa Simba ni nani?. Nyie jifunzeni kuwa Kuingia Robo kwny club Bingwa sio mchezo..nadhani mpk sasa mmeshajifunza na limewaganda hilo kwa kichwa...
 
Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano.

Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si level yao.

Kuanzia mechi ya Asec, Galaxy na hata ya jana ya Wydad, Simba wamekuwa na lengo moja tu: kuzuia kufungwa. Ni kuzuia tu mwanzo mwisho. Back-passes na kubutua kukatamalaki.

Wachezaji wako hoi na hawana maarifa yoyote. Yaani wenye viwango vya mashindano wawe na goli moja la penati katika mechi tatu!?

Haya sasa, Simba nao wanashika mkia kwenye kundi lao. Simba mjifunze kubakisha maneno. Na bahati mbaya iliyopo ni kuwa Wydad ndiyo kwanza wameanza kukusanya alama kwao.
Sasa mkuu mbona unalia lia? Wote tumeiona Simba jana. Imecheza mpira mzuri. Wewe na litimu lako mbona mlifungwa tatu bila na timu ya daraja la kawaida kabisa? Subiri uone mwishoni jinsi zile bao tatu zotakavyoigharimu Yanga
 
Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano.

Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si level yao.

Kuanzia mechi ya Asec, Galaxy na hata ya jana ya Wydad, Simba wamekuwa na lengo moja tu: kuzuia kufungwa. Ni kuzuia tu mwanzo mwisho. Back-passes na kubutua kukatamalaki.

Wachezaji wako hoi na hawana maarifa yoyote. Yaani wenye viwango vya mashindano wawe na goli moja la penati katika mechi tatu!?

Haya sasa, Simba nao wanashika mkia kwenye kundi lao. Simba mjifunze kubakisha maneno. Na bahati mbaya iliyopo ni kuwa Wydad ndiyo kwanza wameanza kukusanya alama kwao.
Na ni bahati kwao kuwa kwenye kundi la wakina pipa na mfuniko laiti wangekuwa kwenye kundi la yanga wangekuwa wanakamilisha ratiba tu Sasa hivi!
 
Back
Top Bottom