michuano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  2. PD_Magumba

    Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  3. maroon7

    Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
  4. maroon7

    Je, VAR kwenye michuano ya AFCON imeongeza au imepunguza ladha?

    Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
  5. TUKANA UONE

    Kuna timu ambayo inaenda kudhalilishwa kwenye hii michuano kwa mara ya kwanza toka ianze!

    Nishasema Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega!. Kiukweli ndugu zangu tangu mods wanaiondoe kwenye jukwaa la michezo toka Simba alipokula kipigo cha Goli 5 - 1 Kutoka kwa hasimu wake Young Africans,Mods walinifungia kwenye jukwaa la...
  6. Greatest Of All Time

    Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

    Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
  7. Greatest Of All Time

    DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo. Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
  8. Petro E. Mselewa

    Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  9. S

    Kundi la Yanga ndio litatoa bingwa wa hii michuano

    Huu ndio ukweli na ndio maana mpaka leo timu namba moja kwa ubora bado haina uhakika wa kutinga robo fainali(mpaka sasa inahaha kuingia robo fainali). Labda Mamelodi ndio anaweza kuleta ushindani.
  10. Da Gladiator

    Yanga SC na Michuano ya CAFCL

    Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla. Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo. 🙌 Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu 🙌Yanga...
  11. O

    Edo Kumwembe: Simba ile ile, wachezaji wale wale, michuano ndio tofauti

    KAMA bao la penalti laini ya Saido Ntibazonkiza dhidi ya Asec Mimosas lingesimama kwa dakika zote tisini si ajabu mashabiki na viongozi wa Simba wangerudi katika dunia yao ya njozi kwamba bado wana timu bora kwa ukanda huu wa Afrika mashariki. Si ajabu pia wangeendelea kuota ile njozi maarufu...
  12. CAPO DELGADO

    FIFA yaishika pabaya Simba, ratiba ngumu kwa mpambano wao na Al Alhy

    WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na ratiba ya mechi za timu za taifa ilivyo. Hivi sasa ligi nyingi...
  13. GENTAMYCINE

    Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

    Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
  14. Shark

    Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

    Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha. Sasa wewe Uto endelea kubisha na kuita sijui Abiola Cup. Kwanza unaweza kushitakiwa kwa uhainin Kwa kuonekana...
  15. BARD AI

    Tanzania yaichapa Libya 9-3, Yatwaa Medali za Shaba (Bronze) kwenye Michuano ya Soka la Ufukweni

    Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3. Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia kwenye Matuta ambapo Morocco imeibuka na ushindi wa Magoli 4-3. Mgawanyo wa Zawadi umekuwa kama...
  16. Teko Modise

    Pengine leo tutashuhudia fainali mbovu ya UCL kuliko zote katika historia ya michuano hiyo

    Usiku wa leo ni fainali ya uefa champions league kati ya manchester city dhidi ya inter milan kuanzia milango ya saa 4:00 usiku Ninapata mashaka pengine leo tunaweza kushuhudia fainali mbovu zaidi katika historia kwasababu mbalimbali. Mosi, man city wapo katika fomu ya hatari sana anatoa dozi...
  17. Teko Modise

    Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyowahi kufanya "come back" ya kibabe katika mashindano ya CAF

    Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0 Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
Back
Top Bottom