Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,155
25,398
Waungwana wa JF nawasalimu,

Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko Dodoma.

Pamoja na nguvu kubwa ya chama tawala (CCM) juu ya Serikali ambayo huundwa na chama hicho, si sawa kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Hata Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa huepuka kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Vivyohivyo kwa Makamu wa Rais.

Waziri Mkuu, kichama, ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM; Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM. Kwa nafasi yake, ni sehemu ya ndani kabisa ya chama. Waziri Mkuu, kiserikali, ni mtendaji mkuu wa serikali na mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni. Hushauriana na Rais hata kwenye teuzi mbalimbali, zikiwamo za Mawaziri.

Kulingana na nafasi ya Waziri Mkuu ndani ya CCM na Serikali, si sawa wala busara kumuagiza hadharani kufanya hili au lile. Pamoja na kuwa mwanachama wa CCM katika nafasi nilizozitaja, ni kiongozi wetu kitaifa. Tunamheshimu na anapaswa kulindiwa heshima yake. Kumuagiza kwa kumtaja hadharani kunaweza kutafsirika kama kumtweza na kumbagaza.

Waziri Mkuu ana majukumu makubwa na mengi. Anafanya kazi kubwa na nyingi. Anafanya kazi za chama chake-CCM na Serikali yetu. Tumheshimu Waziri Mkuu wetu....asitwezwe kwa mgongo wa chama na maagizo ya chama.
 
Waungwana wa JF nawasalimu,

Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa

Waziri Mkuu ana majukumu makubwa na mengi. Anafanya kazi kubwa na nyingi. Anafanya kazi za chama chake-CCM na Serikali yetu. Tumheshimu Waziri Mkuu wetu....asitwezwe kwa mgongo wa chama na maagizo ya chama.
Wacha wafu wazike wafu wao
 
Kwa kweli sio sawa kabisaa.....amedhalilisha nafasi ya PM na anaweza sababisha PM akawa hana imani na mteuzi wake.....KM wa Ccm na Makamu Mwenyekiti wampe JD yake .....labda hajui
 
Waungwana wa JF nawasalimu,

Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko Dodoma.

Pamoja na nguvu kubwa ya chama tawala (CCM) juu ya Serikali ambayo huundwa na chama hicho, si sawa kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Hata Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa huepuka kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani. Vivyohivyo kwa Makamu wa Rais.

Waziri Mkuu, kichama, ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM; Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM. Kwa nafasi yake, ni sehemu ya ndani kabisa ya chama. Waziri Mkuu, kiserikali, ni mtendaji mkuu wa serikali na mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni. Hushauriana na Rais hata kwenye teuzi mbalimbali, zikiwamo za Mawaziri.

Kulingana na nafasi ya Waziri Mkuu ndani ya CCM na Serikali, si sawa wala busara kumuagiza hadharani kufanya hili au lile. Pamoja na kuwa mwanachama wa CCM katika nafasi nilizozitaja, ni kiongozi wetu kitaifa. Tunamheshimu na anapaswa kulindiwa heshima yake. Kumuagiza kwa kumtaja hadharani kunaweza kutafsirika kama kumtweza na kumbagaza.

Waziri Mkuu ana majukumu makubwa na mengi. Anafanya kazi kubwa na nyingi. Anafanya kazi za chama chake-CCM na Serikali yetu. Tumheshimu Waziri Mkuu wetu....asitwezwe kwa mgongo wa chama na maagizo ya chama.
Ujinga na upumbavu utaiangamiza hii nchi...
 
Attachments

  • Makonda vs Makamanda.mp4
    27.5 MB

Kweli kabisa !! Ndio maana wengine tumeona jamaa yupo pale’ deliberately’ sio kwa bahati mbaya !! 😅🙏
Ngoja Tusubiri tuone !!🙏🙏
 
R

Mwenyekiti wa chama mwenyewe amekuwa wa hovyo kuteua jitu la hovyo km lile. Makonda ana mtindio wa akili, hana akili hata kidogo. Sijawahi kusikia hata rais akimwita mkuu wa mkoa, eti njoo hapa tena kimbia, na mama mtu mzima mwenye watoto wakubwa na mme, Makonda lenyewe toto la juzi. Samia atapata anachokitafuta, anafikiri CCM ya leo ni ile ya enzi za mwl. Nyerere, km anataka usalama wake na usalama wa nchi aondoe ile takataka.
Anachokifanya Makonda ndicho haswa alichoteuliwa kukifanya.

Makonda ni mithili ya udongo, unamfinyanga vile unataka awe.

Makonda ni mouthpiece ya waliomteua ili aongee yale wasioweza kuyaongea kwa wanaotakiwa kufikishiwa ujumbe.
we kenge kasome katiba ya CCM kujua majukumu ya ile nafasi, na ukumbuke yeye siyo wa kwanza. Yule mshamba ni lofa, kwanza linapenda sana sifa mbele ya kadamnasi hasa kwa kuwadhalilisha wenzake. Yule fala alitakiwa gerezani, aliyemshauri Samia hakuwa na nia nzuri
 
The end Justify the Means..., Iwapo Issues za kuongelea zimegeuka kuwa ni kuongelea an indvidual (ambaye kazi yake ndio hio aliyopewa) basi naweza kusema kama CHAMA na Kwa Walamba Asali - Job well Done....

As a country or as a Taxpayer ni mwendelezo wa kuwa shortchanged.....; If you ask me Piga wote Chini......

Similar Discussions

30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom