kupangwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Kwa goli hili, Mechi ya Wydad vs ASEC ilikuwa ni Fixed Match?

    Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH. CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika Bahasha zinatembea hadi CAF?
  2. Lord denning

    Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  3. Petro E. Mselewa

    Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly AFL

    Kwa huu mpira wa fainali ya AFL mkondo wa kwanza ninaoushuhudia hapa, nathubutu kusema Simba walibahatika kupangwa na Al Ahly. Simba na wenzao wote wanacheza mpira wa taratibu. Wote wana wachezaji wazito. Hakika, kama Simba angepangwa na Wydad au Mamelodi hii, tungepata aibu ya kitaifa. Wababe...
  4. S

    Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
  5. S

    Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja. Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
  6. Superbug

    Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Mimi ni mkatoliki ila hili tukio la bikira maria kuwatokea watoto wa fatima kule ureno linafikirisha sana. Kwanza mkuu wa kanisa katoliki yani papa ni Rais wa Vatican pia kama nchi kamili yenye kiti UN. Sasa tukio la kule ureno mwaka 1919 la bikira maria kuwatokea Lucia, Francis na Yasinta sio...
  7. H

    Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Kumezuka tabia ya baadhi ya Waajiri ikiwemo Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili siku za Jumamosi ( hususani Usaili wa Mchujo). Kitendo hiki ni Kinatafsiriwa kama Ubaguzi (Discrimination) kwa waumini wa Kanisa la Waadvetista Wasabato ambao Jumamosi ni siku ya Ibada therefore, by doing so...
  8. N

    Simba ni kubwa Afrika. Comments za baadhi ya Waafrika Kusini wakiogopa Simba kupangwa na Orlando Pirates

    Ni vile tu tumezungukwa na majinga sana nchi hii ila simba kwa sasa ishajiweka kwenye level fulani kubwa sana soma mwenyewe comments za wana orlando pirates wakitamani wasipangwe na simba kwenye draw ya kesho.
  9. Mshana Jr

    Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

    Kila kitu kina mpangilio katika maisha.. Huwezi kufanya kinyume na mpangilio na ukijaribu kufanya hivyo matokeo yake ni zogo na kupaganyika. Kwenye hili la machinga lilikosa mpangilio..Na likafugwa na wanasiasa kwa maslahi binafsi ya kisiasa.. Sasa kama tumeamua kurudi kwenye mpangilio lawama...
  10. sajo

    Hukumu ya Gwajima na Silaa: Je, lilikuwa ni tukio la kupangwa?

    Taarifa ya Kamati ya haki, maadili na Madaraka ya bunge iliungwa mkono na Spika wa Bunge kabla ya kuanza kujadiliwa na bunge (baada tu ya Mwenyekiti wa kamati kutoa hoja). Tafsiri ni kuwa ilielekeza wabunge nini kinachotakiwa na Spika. Muelekeo ulikuwa ni kuunga mkono hoja na sio vinginevyo...
Back
Top Bottom