WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA
Dodoma Agosti 12, 2026
Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
Hili ndio swali ninalojiuilza baada ya Jumuiya hiyo kutoa mapendekezo ambayo ni kama maagizo kwa hawa watawala.
Kwa serikali hii, sitashangaa wakakaidi kutekeleza hayo maazimio.
Swali ni je, kwa taratibu za Jumuiya ya Madola, kupuuza hayo maazimio kunatosha kuisimamisha Tanzania uanachama...
Sakata ndani ya soka la Kenya imechukua turn kali baada ya Rais wa FKF, Hussein Mohammed, kusimamishwa kazi kufuatia allegations za financial misconduct zinazohusiana na CHAN 2025. Hii issue sasa imevuka mipaka baada ya FIFA kuingia kati kufuatilia kama due process ilifuatwa.
Kwa mujibu wa...
Magaidi wa Hezbollah na wafuasi wao wanasherehekea kote Lebanon kuanza kwa usitishaji vita wanazodai kuwa walishinda na kuanza kwa watu waliokimbia makazi yao kurejea katika maeneo yao - huko Dahieh, Beirut na kusini mwa Lebanon.
Vizuizi vya zege kutoka kwa viingilio vya vitongoji vya kusini...
Kufuatia mapendekezo mazito kutoka Kamati ya Usalama ya Taasisi za Serikali (Inter-Agency Security Committee), Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) siku ya Jumanne ilitoa maelekezo kwa waendeshaji wote wenye leseni wa mitandao ya simu (MNOs) na watoa huduma za intaneti (ISPs) kusitisha kwa muda...
Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata.
Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa...
Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire
US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
Rais wa chama cha soka hapa Tanzania (TFF), Wallace Karia siku za karibuni amesikika akitoa matamshi yenye utata kwa kusema kwa kipindi kirefu akiwa Rais wa TFF, yeye na TFF kwa ujumla wake kwa makusudi wamekuwa wakiibeba sana Yanga kwenye ligi kuu ya Tanzania na kwa sasa wamechoka kuendelea na...
Wote, hadi sasa, wana kadi tatu za njano. Ni hawa:
RISK OF SUSPENSION
This table lists all players who are injured, sick and suspended, and those, who are at risk of facing suspension.
Compact
Detailed
Player
Age
Yellow cards
Appearances
Cards/Match
Ronwen Williams
Goalkeeper
32...
Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama!
Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)...
Wakuu, kama bado hukuwa na taarifa ya kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maisha Magic Bongo ndani ya DSTV Barbara Kambogi na msaidizi wake bwana Onesmus Ndarite, tafadhali pitia hapa...
MTWARA; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Nchini (tanesco), kumsimamisha kazi Meneja wa Huduma kwa wateja kwenye shirika hilo na kuweka mtu mwingine kufanya hiyo kazi.
Pia amemuagiza Mkurungezi Mtendaji wa Shirika la...
Kwa mujibu wa televisheni ya Aljazeera ni kuwa upatanishi unaoendelea nchini Qattar uko katika hatua za mwisho kukamilika ili vita visimamishwe kwa haraka muda wowote kuanzia sasa.
Ijapokuwa mwanzoni Israel ilionekana isingeweza kabisa kusitisha vita kutokana na hasira za mashambulizi ya Hamas...
Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni).
Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi.
Mara nyingi tu shughuli...
African
Mimi nilisimamishwa shule nikiwa form two kwa muda wa wiki mbili kule Iringa, shule ipo karibu na Lugalo ile ya Serikali jirani yake kuna shule ya private.
Nilisimamishwa kwa kosa la kumtukana mtu mbele ya darasa, mwalimu mmoja maarufu kwajina la Uhuchu alisikia kelele Class baada ya...
Rais wa Kenya, William Ruto amemtaka kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga kuacha kushawishi umma kupinga maamuzi hayo kwa kuwa Mahakama ndio itakayoamua kuhusu makamishna hao ambao walipinga ushindi wa Ruto katika uchaguzi Mkuu wa 2022.
Kwa kutumia ukurasa wake wa Twitter, Ruto ameandika...
Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.