Jeshi lilimkataa tangu kitambo linamchora tu akanyage fyuziHata jeshi limeshaaza kukubaliana hao maded wasijidanganye safari hii
Jeshi lilimkataa tangu kitambo linamchora tu akanyage fyuziHata jeshi limeshaaza kukubaliana hao maded wasijidanganye safari hii
Mwaka huu jiwe kazi mbona anayo?
Tatizo magufuli inaonesha sio mtanzania akiongea Kama anagombana na wasikilizaji, anafoka ndio maanaa hata wanaomsikiliza wanamshangaaa kuwa kwani anatugombeza? Halafu ana maneno machafu Ya kutukana watu, kumbe hajui kuwa wale waliombele yake wengne ni chadema ila wameletwa Kwa nguvu kutokana na amri ya kazini kwaoWakuu
Huyu Bibi nimekutana nae kwenye Dalala mkoa x anasema atamchagua Lissu kwa sababu akiwa anahitubia wala hafoki kama viongozi wengine
Nadhani sasa ni muhimu kwa viongozi kujifunza lugha za kuongea na wananchi unapowahutubia maana mwananchi ndio mwenye nchi yake sio kumfokea wala kumtisha hapana
Huyu Bibi kanieleza hivo nikabaki nimeinamisha kichwa.
Kumbe kubadilisha taifa liwe la kishoga siyo kashfa...Ni wazi kuwa TL hana kashfa wala tuhuma yoyote, maana hadi sasa hatujasikia zikisemwa semwa na wapiga debe wa CCM wala wagombea wao.
Baada ya kuzikosa wamebaki na maneno ya porojo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote
Mwaka huu mpaka mtajinyea na bado, ...
Eti Maccm yapo bize yanatengeneza voice note za lissu anaongea a accacia,Ni wazi kuwa TL hana kashfa wala tuhuma yoyote, maana hadi sasa hatujasikia zikisemwa semwa na wapiga debe wa CCM wala wagombea wao.
Baada ya kuzikosa wamebaki na maneno ya porojo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote
Mungu asaidieJeshi lilimkataa tangu kitambo linamchora tu akanyage fyuzi
Hayo umeyajuwaje wakati tiss wameridhia apewe fomu kitamboKitendo cha mtetezi wa maslahi ya mabeberu nchini Tundu Lissu kukubali kupachikwa kifaa kinachonasa taarifa za Tanzania ni kukosa uzalendo.
Kifaa hicho alipachikwa mwilini mwake akiwa ughaibuni ambapo alikua akizunguka mataifa mengi eti kuishitaki Tanzania kwa mabeberu.
Kwa ufupi hana sifa za kuwa kiongozi. Tumeona mgombea wa nchi fulani akikosa kura kutokana na kutumia baruapepe binafsi kwa shughuli za kiserikali. Sembuse yeye anaevujisha taarifa nzito za nchi.
Lissu anafuata nyayo za kiongozi wa taifa fulani ambae alisaidiwa kuingia madarakani na taifa jingine.
Eti huyu tumpe nchi yetu aiongoze? Loooh. Atatuuza sote. Hafai kuwa msimamizi wa umma na rasilimali za umma.
Kwakweli, hatuko tayari kumchagua Gorbachev (Lissu) kwasababu ataisambaratisha nchi yetu.
Huyo ndio Rais wetu wa Awamu ijayo aliye tayari kulivua nguo taifa kwa kwa maslahi tu ya mabeberu na chuki yake dhidi ya Serikali ya awamu tano. Watanzania, Je huyu ana dhamira ya dhati ya kuilinda nchi yake kweli!? Tafakari.