SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,266
2,000
Napata Shida Sana Kuona watu wanabishana na Wafuasi wa Chadema.

Huu ndio muda wao Wa kufurahii na Baada ya Tarehe 28 Ni Vilio vya kutosha maana hawataamini Kitachokeaa

Sasa Nyie Tulieni Walete update Hata za Malaika kuhudhuria Mikutuno ya Lissu , walete update za kujifariji na kujipa raha ndio Muda waoo Waacheni maana Wanaelekea ukingoni.

Dr Johne Magufuri Tunamwitaji sana na hatuwezi kumpoteza tutamtetea kwa gharama yoyote ile ili Abaki Madarakani Akaivushee nchii Ili watoto wetu waje kufaidikaaaa.

Na Mwisho NISEME. HATUWEZI KUKABIDHI NCHI KWA WAHUNI WASIOWEZA HATA KUJINGOZA KWA DEMOCRASIA NDANI YA CHAMA CHAO

WACHENI CHADEMA WAFURAHI NDIO MUDA WAO.
Povu Hilo!!!
 

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,135
2,000
Kampeni ya Lissu, mshaurini achanganye ukatiri wa utawala huu (50%) pamoja na sera zake (CHADEMA) (50%) Zaidi ya haki na uhuru.

Je, Lissu atawafanyia nini Watanzania? Ujumbe wa ukatili wa utawala huu nadhani umeeleweka vizuri.

Badala ya kurudia rudia ujumbe wa ukatili wa watawala, mkutano hadi mkutano, changanya na yale yanayowagusa watu moja kwa moja - shule/elimu, mikopo ya chuo kikuu na urejeshaji wake, maji, afya ajira, kilimo, uvuvi, ufugaji, kipato, pensheni kwa wastaafu, kodi...

Unatakiwa uponde kwanza halafu unamalizia na jinsi utakavyofanya wewe ukiwa Rais. Muda uliobaki ni mfupi sana Utumiwe vizuri kwa tija zaidi.
 

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
5,710
2,000
Mikutano ya kisiasa iliyozuiwa kwa miaka mitano huku CCM wakiifanya kwa mgongo uzinduzi wa vitu au miundombinu iliyojengwa kwa fedha za wananchi ,misaada na mikopo kutoka benki mbalimbali za duniani.

Miezi 2 tu ya kampeni Mh. Tundu Lissu (unshakable) ameleta kimbunga ambacho kinawasomba wanaCCM na viongozi wao mpaka imefika hatua ilani yao wameiweka kando na kutoa ahadi za papo kwa papo bila kujali ilani yao inasemaje.

Mikutano na wanahabari haikatiki sasa ili kujikinga na kimbunga cha Lissu. Itokee CCM waendelee kutawala au waanguke 28 Oct. hawataweza kukisahau kimbunga cha Lissu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom