Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
3,021
2,000
Tanzania umepata uhuru wa bendera 1961, lakini cha kushangaza hadi kufikia 2020 bado ccm wanatoa ahadi ya kuchimba visima
 
  • Love
Reactions: BAK

mama kubwa

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
3,790
2,000
..Kuna watu wanne muhimu sana ambao Tundu Lissu aliwataja kuhusu tukio lake.

1. Khadija Juma Akukweti.

2.Amina Abrahman Kanyama.

3.Adam Mohamed Bakari.

5. Salim Turky [sasa ni marehemu].

..Hao watatu wa kwanza ndio waliomtoa TL toka eneo / area D aliposhambuliwa mpaka Dodoma Hospitali.

..Salim Turky ndiye aliyetoa udhamini ili ipatikane ndege ya kumsafirisha TL toka Dodoma kwenda Nairobi.

..Pia wapo madaktari na wauguzi wa Dodoma Hospitali ambao walim-stabilize ili aweze kutolewa Dodoma kwenda Nairobi.
Halafu ni WA dini moja, Mimi ni mkristo lakini hakuna awamu Bora kama zilizoongozwa na Ma Rais waislamu ,wenzetu Wana hofu ya MUNGU.
 

Mirlz B Matthew

JF-Expert Member
Oct 10, 2011
1,734
2,000
% kubwa ndivyo wanavyoongea watu wa kule.....!!Nilivyofika kwa mara ya Kwanza nilidhani wote ni watu wa kufoka na kukaripia
 

jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,486
2,000
Anakula spana za hatari, na alivyo mweupe kwenye hoja
 

Attachments

  • FB_IMG_1600852742662.jpg
    File size
    30.3 KB
    Views
    0

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
458
1,000
Wakuu
Huyu Bibi nimekutana nae kwenye Dalala mkoa x anasema atamchagua Lissu kwa sababu akiwa anahitubia wala hafoki kama viongozi wengine
Nadhani sasa ni muhimu kwa viongozi kujifunza lugha za kuongea na wananchi unapowahutubia maana mwananchi ndio mwenye nchi yake sio kumfokea wala kumtisha hapana
Huyu Bibi kanieleza hivo nikabaki nimeinamisha kichwa.
Tatizo magufuli inaonesha sio mtanzania akiongea Kama anagombana na wasikilizaji, anafoka ndio maanaa hata wanaomsikiliza wanamshangaaa kuwa kwani anatugombeza? Halafu ana maneno machafu Ya kutukana watu, kumbe hajui kuwa wale waliombele yake wengne ni chadema ila wameletwa Kwa nguvu kutokana na amri ya kazini kwao
 

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,288
2,000
Ni wazi kuwa TL hana kashfa wala tuhuma yoyote, maana hadi sasa hatujasikia zikisemwa semwa na wapiga debe wa CCM wala wagombea wao.

Baada ya kuzikosa wamebaki na maneno ya porojo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote
Kumbe kubadilisha taifa liwe la kishoga siyo kashfa...


Chadema mmefilisika sana.

Yale ya MIGA ni appraisal?
 

GONZZ EPACLEM

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
244
250
Mwambieni hata aongeze na wajukuu zake wamuunge mkono kabisa, maana kura yake haina madhara kwa wapiga kura 29mil
 

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,392
2,000
Ni wazi kuwa TL hana kashfa wala tuhuma yoyote, maana hadi sasa hatujasikia zikisemwa semwa na wapiga debe wa CCM wala wagombea wao.

Baada ya kuzikosa wamebaki na maneno ya porojo yasiyo na ushahidi wa aina yoyote
Eti Maccm yapo bize yanatengeneza voice note za lissu anaongea a accacia,

Ukiwauliza Nani aliyewaleta accacia na baba yake Barrick hayana majibu
 

Bekiri

Member
Jun 30, 2013
14
75
Kitendo cha mtetezi wa maslahi ya mabeberu nchini Tundu Lissu kukubali kupachikwa kifaa kinachonasa taarifa za Tanzania ni kukosa uzalendo.

Kifaa hicho alipachikwa mwilini mwake akiwa ughaibuni ambapo alikua akizunguka mataifa mengi eti kuishitaki Tanzania kwa mabeberu.

Kwa ufupi hana sifa za kuwa kiongozi. Tumeona mgombea wa nchi fulani akikosa kura kutokana na kutumia baruapepe binafsi kwa shughuli za kiserikali. Sembuse yeye anaevujisha taarifa nzito za nchi.

Lissu anafuata nyayo za kiongozi wa taifa fulani ambae alisaidiwa kuingia madarakani na taifa jingine.

Eti huyu tumpe nchi yetu aiongoze? Loooh. Atatuuza sote. Hafai kuwa msimamizi wa umma na rasilimali za umma.

Kwakweli, hatuko tayari kumchagua Gorbachev (Lissu) kwasababu ataisambaratisha nchi yetu.

Huyo ndio Rais wetu wa Awamu ijayo aliye tayari kulivua nguo taifa kwa kwa maslahi tu ya mabeberu na chuki yake dhidi ya Serikali ya awamu tano. Watanzania, Je huyu ana dhamira ya dhati ya kuilinda nchi yake kweli!? Tafakari.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom