simba

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Furaha ya wanayanga ni kumuudhi Simba!

    Roho zetu leo hii ni burudani sana ...Selemani Mwalimu kafunga Goli muhimu sanaa!!
  2. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watch: Rwomushana whisked from Simba Radio.

    Ugandan political analyst Charles Rwomushana was forcibly removed from Simba Radio studios in Bukoto by armed men wearing civilian clothes.
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Clatous Chama: Nilijutia sana kuondoka Simba, siku niliyosaini mkataba Yanga haikuwa siku nzuri kwangu

    Kama ningerudi Zambia ingekuwa ngumu sana kurudi Simba na nilisaini Singida kwa sababu nilitaka tu kuwa karibu na Simba na waendelee kuniona” “Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tu” “Nilikuwa kwenye wakati mgumu lakini...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Doumbia ni MALI. Simba wamtumie vizuri

    1. Waingie mkataba na kampuni ya Total Energy watumie ile clip maarufu aliyorukia mpira kama anacheza rede kwenye tangazo lao. 2. Wauze clip za vituko vyake kwenye makampuni ya kubeti. 3. Wamtumie kama kivutio kila waendapo watu walipe $5000 kupiga naye picha. Doumbia ni striker la boli...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ukitaka kununua ngozi ya chui au simba kutoka Maliasili?

    Wakuu kwema.. Nani anazijua taratibu za kununua vitu vya asili pale maliasili kama vile ngozi ya Simba, Chui, na kadhalika. Gharama zake je, zipoje?
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania MATCH DAY; Dakika 90 za Moto! Simba Yakutana na Geita Gold Katika Pambano la Pointi Tatu

    Simba SC leo, Jumatatu Agosti 31, 2026, itashuka dimbani kuikabili Geita Gold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa na lengo la kuendeleza mwanzo wake mzuri wa msimu na kusalia kwenye mbio za kilele cha msimamo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, huku...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Miaka nane hesabu za Simba hazijawekwa wazi

    Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio. Anasema akiwa high table kwenye mkutano wa Simba alimwomba mweka hazina nakala ya ripoti ya Simba...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Simba haina Golikipa: Itafungwa hata na Manzese United!

    Magolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba . Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba. Simba itaendelea "kuchikichiwa" au "kutiwa kidude" mpaka watakaposajili magolikipa .
  10. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania CCM ikitoka madarakani Simba na Azam ndio zitakuwa timu kubwa na watani wajadi Tanzania

    Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao. Sasa itoshe kusema in...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Njombe man-eaters: Simba waliokula zaidi ya watu 1500 Kusini mwa Tanganyika 1932-1947

    Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters? Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake. Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tusiingie kwenye mtego wa Simba. Selemani Mwalimu walikuwa wanamkarisha hadi dk za mwishoni. Sisi tunamweka bench?

    Matches 2 za Yanga Selemani Mwalimu hajacheza. Why? Why? Kocha una tatizo gani kumtumia Sele Gomez? Huyu tulimchukua kwa shangwe leo anachezea bench tu? Maana yake nini? Yeye alisema anaondoka Simba sababu hapewi nafasi kikosi cha kwanza. Anakuwa bench mpaka dk za mwishoni. Anakuja Yanga aanze...
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

    Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Matches 3 kadi 3 Nyekundu kwa Simba

    Hii nadhani ni record sijajua kama imewahi fikiwa hapo before. Na hii itaendelea kwa matches zote zilizobaki maana nyie Simba ndo mlitaka sana VAR sasa imekuja hii.... Lazima moto uwake. Referee akienda tu kuangalia akirudi ni Kadi ya Simba. Yaani Kadi Nyekundu.
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kama sio Football Video Support (FVS) basi wachezaji wawili wa Simba wasingepewa redcard

    Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania FVS imekuja kwaajili ya Simba, walibebwa sana na makosa ya kibinadamu

    Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu. Ujio wa FVS unatuonyesha sasa kumbe marefa wetu walikuwa wanakosea tu kibinadamu kuipendelea Simba...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania BMT Yathibitisha Kupitisha Katiba Mpya ya Simba, Yataka Itumike

    Baraza la Michezo la Taifa, BMT, limetoa ufafanuzi kwa umma, wanachama na wadau wa Klabu ya Simba kuhusu utekelezaji wa Katiba iliyorekebishwa ya klabu hiyo iliyoidhinishwa tarehe 18 Februari, 2026, hatua inayokuja baada ya mashabiki na wanachama wa klabu ya hiyo kulalamima kuhusu utekelezaji wa...
  19. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania BMT: Serikali ilikamilisha wajibu, Simba yatakiwa kutekeleza Katiba Mpya

    Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi. Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania MO haidai Simba hata shilingi moja, inamdai yeye

    Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba. Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo...
Back
Top Bottom