Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya mzabuni wa Simba.
Wamejitokeza wazi nashauri wafuatiliwe mwanzo mwisho maana inaashiria licha ya kuwa...
Siyo siri naangalia mechi hapa na Kagera naona Simba wanacheza hovyo sana,hawana morali,wanacheza kama wapo mazoezini.
Hii timu kwa sasa inakatisha tamaa
Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026.
Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27.
📅 Leo...
Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule.
Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa.
Sijasikia mtu hata...
Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake.
Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri.
Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya fidia kwa Simba ili aondoke.
Genius Mangungu unaupiga mwingi.
Nashindwa kuielewa kabisa!,Kuna wakati waarabu wa nafikiri dubai au oman waliitaka simba,likatokea zengwe timu hii atafutwe mwekezaji mwarabu tajiri amwage fedha za kutosha ili mambo yakae sawa kwa usajili wa maana utakao leta wachezaji vigogo wa kuleta ushindani mkali,
Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi.
Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na...
Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi.
Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto) kujipoza machungu au wanaita comeback, kumbe wanailipia Yanga ada ya Seleman Mwalimu kwa Wydad.
Magori...
Bila kupoteza muda
Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba
Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo
Mpk sasahivi viongozi bado wanahaha namna ya kugeuza kipigo
Nawathibishia Leo Simba anashinda
Ewee shabiki wa Mnyama...
Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu.
Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu?
Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau!
Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu;
Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea!
Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi...
Tofauti ya Yanga na Simba ni viwango vyao vya umbumbumbu. Umbumbumbu wa mashabiki wa Simba ulianza kutangazwa na mwanasimba mwenzao Kaduguda na kukolezwa na Rage.
Ukiona mashabiki wanakunya hadharani mchana kweupe hao unaweza kuwageuza unavyotaka kama samaki kikaangoni.
Ni mchezaji gani Tz...
Klabu ya Yangu 10-8-2026 imemsajili mchezaji wa Simba ambaye hakuna na namba na ameshuka kiwango Sulemani Mwalimu, kwa milioni 150, Nyumba mikocheni na Subaru forester na mshahara wa milioni 15 kwa mwezi kma zilivyopenyezwa za ndani japo hazijadhibitishwa na chanzo huru.
Yanga inaonyesha vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.