dodoma jiji

Dodoma Jiji Football Club is a Tanzanian football club based in Dodoma City.
The club won promotion to the Tanzanian Premier League for the 2020–21 season.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

    Mechi kati ya Simba na Dodoma Jiji inapigwa leo, Mei 24, 2026 kwenye uwanja Wa KMC, Simba inaingia kwenye mche huu ikiwa nyumba ya Yanga kwa pointi 2, Ikiwa na alama 55 ya pili kwenye msimamo huku Dodoma ikiwa na alama 33, na ya 8 kwenye msimamo. Nani kuongeza alama? Ni moja au 3 acha tuone au...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa timu yangu Yanga baada ya kipigo kutoka Dodoma Jiji

    Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza 1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin 2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team Kitendo cha kususa na kujitoa...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2

    Kwa mara ya kwanza timu ya Yanga imepoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2025/26 mbele ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Airtel, Singida, leo Mei 13, 2026. ######### Yanga yupo uwanjani tena kuzisaka alama 3 dhidi ya Dodoma Jiji. Je ni Dodoma Jiji au Yanga kuondoka na alama 3 ...
  4. C

    JamiiForums Tanzania dodoma jiji walimu tuliokidhi vigezo tunatakiwa kuto rushwa ili tuthibitishwe kazini

    tunaombwa rushwa ili kuthibishwa kazini baadhi ya ma maafisa tsc na utumishi takukuru fuatilieni hili
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji VS Simba Sports Club Jamhuri Stadium 22/2/2026.

    Mtanange ukiwa unaendelea, mzani ushaanza Kuwaelemea Wenyeji. Mnyama yuko mbele kwa bao 2... Kipute kinaelekea halftime
  6. Mobutu JR

    JamiiForums Tanzania FT: NBC PL | Young African SC 3 - 1 Dodoma jiji FC | 27.01.2026 | KMC complex

    Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama ulinunua kiwanja Dodoma jiji, soma hapa utanishukuru

    Jiji la Dodoma wametangaza yeyote aliyegawiwa kiwanja, ndani ya muda halisi wa kuendeleza, usipoendeleza, wameanzisha kampeni ya kunyang'anya viwanja hivyo. Wameweka tangazo tayai. Kuna watu wawili nawafahamu, walikuwa na karatasi za uhakiki na mikataba kuuziwa na wazawa, kilichotokea maafisa...
  8. Ushirombomoya

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa ofisi ya ardhi Dodoma Jiji na mikoa mingine.

    Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika. Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa nashawishika kununua maeneo yaliyopimwa. Nilifanikiwa kununua eneo Dodoma (mtumba) na kufanya malipo...
  9. Mobutu JR

    JamiiForums Tanzania FT: Young African SC 5 - 0 Dodoma Jiji FC//NBC PL// Amaan 🏟️ Zanzibar//22.06.2025

    Karibu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu. Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani Dodoma, Dodoma Jiji kuzisaka Alama tatu muhimu ili kuendelea kutia mkazo wa kuwania kombe la ligi kuu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso Aelekeza Kufanyika Utafiti wa Kina wa Upatikanaji wa Maji Dodoma Jiji

    WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI ▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji ▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na Nkuhungu ▪️Miradi ya visima vinavyochimbwa kuzalisha maji lita 32m ▪️Hatua hizi kupunguza ukali wa mgao...
  12. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Juma Aweso, Dodoma Jiji hakuna maji zaidi ya wiki

    Nimetembelea familia Dodoma for a week sijaamini nilichokikuta Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima. Hivi mnataka wake zetu waishije hapo Dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo. Najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Simba wamekosa ustaarabu na ubinadamu, Points 3 kwa goli moja au mawili yalitosha kwa kuonyesha kuguswa na ajali ya Dodoma Jiji

    Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni fursa ya kushine, wameingiza kikosi chenye booster za kutosha, Walipania !! Dodoma jiji walipata...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  15. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa Dodoma Jiji kulamba Milioni 5 endapo wakimfunga Simba leo

    MILIONI 5 KILA MCHEZAJI Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba . Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Video: Dodoma Jiji Wasusia mchezo dhidi ya Simba baada ya kuzuiwa mazoezi getini

    Wakuu Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho. Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

    NBC Premier League leo Ijumaa Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji. Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki? Vikosi vya timu zote Mechi imeanza (KickOff) 09' Milango bado haijafunguka pande...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nini kimeikumba timu ya Simba baada ya mechi ya Dodoma Jiji kuahirishwa?

    Huu uzi nautoa kama tahadhari ili kama kuna sehemu ya kusafisha ifanyike haraka. Sitaenda kumnyooshea mtu kidole wala kumlaumu mtu bali ninachotegemea ni wahusika kuangalia mambo kwa jicho la tatu. Baada ya gemu ya Dodoma Jiji kuahirishwa, Simba ililazimika kukaa siku kadhaa zaidi ya timu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Dodoma Jiji yasogezwa mbele, Kikosi cha Dodoma charejea nyumbani

    Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma. Taarifa ya Bodi Ligi
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna usumbufu wa foleni katika Ofisi za Ardhi Dodoma Jiji, uongozi ufanye namna kuondoa hali hiyo

    Hili jambo linasikitisha sana, unasubirishwa kwenye foleni saa kadhaa halafu majibu unapewa mafupi ambayo hayana msaada wa shida uliyoifuata, meanwhile wanakuzungusha bila kujua umetoka wapi? Umetumia nauli au haujatumia? Hii ifuatiliwe na Wizara husika, tunachoshwa na wakati mwingine Watumishi...
Back
Top Bottom