simba

  1. LIKUD

    Simba 3, Berkane 2

    Simba 3, Berkane 2. Uwanja wa Aman Complex Zanzibar. Tarehe 25 May 2025. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  2. U

    Dear Tanzanias, I'm certain Simba will be the new champion on Sunday so proud of my team

    Wadau hamjamboni nyote? This reminded me of James Hadley chase best novel "The way the cookie crumbles".
  3. Mpigania uhuru wa pili

    Simba uwanja wa elfu 15 mpaka sahivi bado hawajaujaza

    Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokono
  4. DELETED ACCOUNT

    Nawahakikishia tena, Simba anaenda kuwa bingwa wa CAF 2024-25

    Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo. Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25...
  5. Pdidy

    KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE NA KAMA N MAPENZI YAKO..BASI LITIMIE..MASHABIKI WA SIMBA NJOO MBELE....NABII SUGUYE

    BABA AMENIFURAHISHA SANA HAHAHAAAAA BAADA YA KUMALIXA MAOMBI AKASEMA JAMANI SI MNAJUA HATA YESU ALISEMA KAMA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIPITE KAMA N MAPENZI YAKO BASI YATIMIE HAHAHAAAA WALIOVAA JEZI ZA SIMBA NJOON MBELEEE HARAKA TUWAOMBEEEEEE WAKAENDA WAWILIIIIIIIIII HAHAAAHAHAHAAAA YAAAN...
  6. Komeo Lachuma

    Simba hamwezi enda mfunga Mwarabu Zanzibar. Hilo Msahau kabisa. Wao si wajinga kupeleka match kule

    Asilimia zaidi ya 80 wanataka Mwarabu ashinde dhidi ya huyu mtu mweusi. Mnajidanganya mtamfunga Mwarabu Zanzibar. Thubutuuuuuuuuuuuuu. Ndani yenu wenyewe ya Simba kuna watu wanatamani Mwarabu ashinde. Si kwa sababu ya Yanga. Ila ni sababu ni team ya mabwana. Na sisi ni Watwana. Ipo hivyo...
  7. Just Pray

    Kocha wa zamani wa Simba, Pablo Franco aipa siri ya Ushindi Simba dhidi ya Berkane 'cheza kwa akili na siyo nguvu'

    Kocha wa zamani wa Simba, Pablo Franco ambaye anaifundisha Al-Qadsiah ya Saudi Arabia, alisema Simba inatakiwa kucheza kwa akili na siyo nguvu pekee. “Berkane ni timu yenye uzoefu mkubwa kwenye michuano ya CAF. Watachelewesha muda na watatumia mbinu nyingi kuvuruga kasi. Simba inapaswa kuwa na...
  8. Yoav Gallant

    Simba hatochukua ubingwa wowote msimu huu.

    Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb confederation na cha ligi ya Nbc. Kombe la shirikisho Afrika wote tunajua kilichobaki ni kukamilisha...
  9. Dogoli kinyamkela

    Utabiri wangu wa mechi ya Simba final

    UTABIRI WANGU MECHI YA SIMBA FINAL 1. Hali ya Mchezo kwa Upande wa Simba SC Wamepoteza 2-0 ugenini, hivyo wanahitaji ushindi wa 2-0 ili kupeleka mchezo penaltini au 3-0 kushinda moja kwa moja. Wataungwa mkono na mashabiki nyumbani, uwanja utakuwa na presha kubwa kwa wageni. Huwa wanacheza...
  10. DELETED ACCOUNT

    Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  11. chiembe

    Hivi ndivyo Yanga wanahangaika na mechi ya fainali ya Simba na Berkane huko Zanzibar

    Wako bize sana na mechi hiyo wakati haiwahusu.
  12. Mtu Asiyejulikana

    Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

    Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli? Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya...
  13. Hyrax

    Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  14. Kekule Wa Benzene Ring

    Matokeo niliyoyaona jana usiku Simba SC 🆚 Rs Berkane

    Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco. Mechi ilianza Kwa Kasi sana na Simba mnamo dk ya 15 walipata mkwaju wa penalty na Steven Mukwala akaweza kukwamisha mpira...
  15. JanguKamaJangu

    Rais Mwinyi asema atabeba gharama zote za Uwanja wa Amaan katika Fainali ya Simba Vs RS Berkane

    RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
  16. Mbabani

    Ndoto ya JPM kwa Simba na CAF kupeleka mechi Zanzibar

    Leo nimemkumbuka aliyekua Rais wa JMT hayati John Pombe Magufuli, sehemu ya maneno alisema "naiomba Simba ilete kombe la Afrika hapa". Baada ya JPM kufariki, mwili wake ukaaagwa Dar, ukapelekwa Zanzibar, ukarudishwa Dodoma, ukapelekwa Mwanza kisha mwili wake ukapelekwa Chato kupitia Geita. Hii...
  17. Just Pray

    Video: Simba safarini kuelekea Zanzibar, Hii Tunabeba

    Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.
  18. kavulata

    TFF iliwayumbisha Simba na Serikali kuhusu uwanja wa fainali CAF

    Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha? Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa...
  19. Dennis Robert Shughuru

    Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

    Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
  20. THE FIRST BORN

    Magori ndie Mtu kawaharibia sana Simba kwenye issue ya CAF,hamkumkanya huko nyuma mlikua mnamshangili sana leo kawaponza

    Kama unakili Timamu tu utanielewa huyu Mzee akili sijui hua anazitumia wapi? Nina matukio ma 4 saiv ya kudhihirisha ujinga wake. 1.Nani anakumbuka swala la Derby ile ya Chuma 5? Mzeee alisema kuna Rushwa kelele kibao hadi akaenda mbqli kusema kuna wachezaji wakubwa ndani ya simba...
Back
Top Bottom