misikitini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Kwanini kwenye makanisa ya kilokole, kisabato hakuna ombaomba nje kama Misikitini?

    Wasalaam, Nimechagua hawa maana ndio wanavuguvugu kubwa la kuliishi neno. Sina uzoefu na RC au KKKT lakini makanisa ya kisabato na kilokole mengi nimeingia. Tofauti na wale wakristo wa awali, Njia ya kuelekea hekaluni ilikuwa imejaa ombaomba. Hawa jamaa walikuwa wanamvizaga Yesu, mitume...
  2. matunduizi

    Hii ndiyo sababu miaka michache ijayo zaidi ya 80% ya watu wa dini watakuwa atheists vificho bila kutoka makanisani na misikitini

    Sababu kubwa ni laana za kuwapa wanadamu wenzao nafasi ya au karibu na Mungu. Hii laana husababisha wahusika kutoridhika na matunzo ya Mungu wao. Hivyo kumkinai Mungu, kuwakinai wanaowafuata wakiujua ubinadamu wao na kugeukia atheism kama faraja mbadala. Yesu akija atakuta kundi hili kubwa...
  3. tpaul

    Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa kuukataa mkataba wa DPW bila kupepesa macho. Aidha, inawezekana BAKWATA wakaukubali mkataba na endapo...
  4. Q

    Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  5. FaizaFoxy

    Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  6. GENTAMYCINE

    Hivi Sisi Wakristo na Waislamu nao huko Misikitini Kwao wangekuwa Wanakesha na Makelele kama Makanisani Kwetu tungewavumilia?

    GENTAMYCINE ( alias East African Brain ) ni Mkristo tena wa Dhehebu la Katoliki ila leo hii ( Usiku huu ) bila ya Unafiki nasema wazi kuwa Ndugu zetu Waislamu ni Watu Waungwana, Wastaarabu na Wavumilivu sana, ila Wakristo ni Wanafiki na Wabinafsi mno. Nina uhakika wa 100% kuwa Waislamu nao...
  7. sky soldier

    Nimeanza kuelewa kwanini wanawake wa Kiislam wanabanwa kwenda misikitini, huku kwa Wakristo hali imekuwa mbaya, wachungaji wanawageuza midoli

    Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote. Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama...
  8. GENTAMYCINE

    Kuna Gari za Ubalozi naziona zinasambaza Zawadi za Vifurushi Misikitini leo tafadhali zigawiwe Kiusawa na si kwa Upendeleo

    Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani. Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko. Japo Mimi ni Mkristo (tena wa...
  9. TODAYS

    Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

    Wizara ya masuala ya kiislamu ya Saudia ilitangaza sheria mpya za Ramadhani ambazo zinawakera Waislamu wengi duniani kote. Wizara ya hiyo ilitoa kanuni na vizuizi vya kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka wa 2023, miongozo hiyo ni pamoja na marufuku ya kutumia vipaza sauti, i'tikafu bila...
  10. T

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti misikitini.

    Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani unaotarajia kuanza tarehe 22 mwezi huu, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti na matangazo ya mahubiri misikitini. Soma hapa...
  11. U

    Wanaokataa uchawi haupo na bado wanaenda makanisani na misikitini wana dini za utambulisho na kuzugia tu

    Kuna watu ni wabishi sana kwamba haya mambo hayapo lakini utawakuta kanisani ama msikitini wakijinadi wao ni wakristo/waislam. Niseme tu kwamba hapa ni ishara ya moja kwa moja wapo kwenye dini kama kushabikia timu za mpira na wala hawajui elimu ya dini yao. Mbaya zaidi hawanaga imani, maji...
  12. GENTAMYCINE

    Viongozi wa dini zote nchini himizeni maombi ya kuiombea mvua msije kuhubiria watu 'wachafu' makanisani/misikitini

    Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia. Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
  13. Kijakazi

    Honeymoon imeisha, ukiona wanaanza kwenda Misikitini na Camera!

    Globalist wanataka matokeo sasa, fungate imeisha, mara nyingi wakianza kubanwa huwa wanaanza kurudi na kutafuta huruma, muda umewadia kunakaribia kukucha, nwo hana rafiki wa kudumu bali maslahi tu,
  14. Etwege

    Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani) Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
Back
Top Bottom