makanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Ni nguvu ya Roho Mtakatifu ndiyo maana kanisa la Wasabato ni kanisa pekee duniani ambalo waumini wake hawaami kwenda makanisani mengine

    Niwatakie Sabato njema enyi watu wote wa Mataifa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

    Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wanapoongea huwa kama wanaongea na wanawake tu makanisani?

    Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu. Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume. Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
  4. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Kwanini makanisani hili hutokea?

    Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka Wanaume 1 Tu Kati ya 10 Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka Tumuweke kundi la wanawake?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba: Ukitaka Siasa Anzisha Chama Chako Usipeleke Siasa Makanisani Kuvuruga Kanisa na kuleta Fujo

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno mazito na yenye kubeba uzalendo yaliyozungumzwa na Mheshimiwa waziri Mkuu wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean siku ya Leo. Soma hapa 👉Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ametoa rai kwa wananchi...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Shetani asingekuwepo tungeenda kusali makanisani na misikitini?

    Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae) Nitatoa mfano Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza bahasha za ondoleo la dhambi badae mambo ya kabadirika. Ukija kwa walokole shetani anatumiwa kama...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tanzania Leaks: Makanisani usiku wa leo kagueni watu wote wanaokuja na vibegi

    Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia nyumba za Ibada na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya

    Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Uovu unatawala...... Leo kuna moto makanisani balaa

    Wakatoliki wote wanakemea uovu unaondelea kwenye nchi yetu.. Walutheri na sisi hatujabaki nyuma, kukemea japo huko juu viongozi wetu hawalushi makemeo wazi wazi, lakini waumini wote tunapewa neno la kutufungua fikra zaidi. Mchungaji wangu leo kanisani kafundisha Mambo mengi kwa ufupi. 1...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

    Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Physics na Chemistry hazifundishwi makanisani na misikitini??

    Kwanini taasisi za elimu (shule za Primary na Secondary) zinajipa majukumu ya kidini?? Mbona taasisi za kidini (makanisa na misikiti) hazijipi majukumu ya kitaaluma (academia) Watoto wanatoka majumbani mwao wakijua wao ni wamoja. Wanaongozana pamoja on their way to school. Watoto wanafika...
  14. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

    Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi. Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo. Michango imekuwa mingi mno. Inabadilishwa majina tu. Mingi haipo hata kwenye maandiko. Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika. Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 95% ya Waumini viherere Ibadani Makanisani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Sifa za Uchawi mitaani Kwao wanapoishi?

    Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu. Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kwa wakristu,wale wa kuoa mtawapata makanisani

    Wanaume ambao hamjaoa,wake zenu watarajiwa wapo makanisani,tembeleeni huko,kwenye kwaya za makanisa,wapo wanawake wengi sana.Nendeni kwenye makanisa,kusali,kuimba na kwa shughuli nyingine za makanisa hamtakosawa wanawake
  19. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
  20. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

    Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho...
Back
Top Bottom