Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,211
Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)

Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo
1.Wasukuma - 97.02%
2.Wakurya - 96.99%
3.Wamasai - 94.07%
4.Wamag'ati - 89.25%
5.Waha - 89.23%
6.Wamatengo - 89.01%
7.Wangoni - 88.00%
8.Wachaga - 87.99%
9.Wafipa - 87.82%
10.Wahangaza - 85.05%
11.Wakinga - 85.03%
12.Wabena - 85.01%
13.Wahehe - 83.08%
15.Wapare - 79.00%
16.Wahaya - 56.31%
17.Wanyamwezi - 50%
18.Wajita - 43.07%
19.Wagogo - 40.92%
20.Wasambaa - 39.78%

Utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika

Lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao haathiri watoto

AINA KUMI NA SABA(17) ZA SADAKA AMBAZO HAZINA GHARAMA
1.DUA: Ombea watu dua mara kwa mara hata kama zako hazijajibiwa ikiwemo wazazi wako,marafiki nakadhalika

2.ELIMU: Fundisha chochote ulichojaaliwa kukifahamu hata adabu za kwenda chooni nakadhalika

3.USHAURI: Toa ushauri kwa mwenye matatizo au katika mambo yenye manufaa

4.TABASSAMU: Kuwa na uso wa furaha mbele ya jamii kwani mtumeﷺ anasema tabassam mbele ya ndugu yako ni sadaqa

5.MSAADA: Tatua matatizo ya watu kadri ya uwezo wako na hata kuwabebea mizigo yao

6.MUDA: Tumia muda wako kwa wazazi wako ukiwafanyia wema na watoto wako pamoja na jamaa zako na marafiki kwa ujumla

7.MALEZI: Lea vizuri watoto wako malezi mazuri nayo ni swadaqa kubwa kumlea mtoto mpaka akabaleghe na hata pia lea watoto wa jamii kiujumla

8.UVUMILIVU: Kuwa na subra wakati unaposongwa na matatizo na kipindi kigumu cha mitihani ya dunia

9.KUMBUSHA: Wakumbushe walioghafilika mambo ya kheri kama vile kusali,kusoma,kutoa sadaqa na kadhalika

10.KATAZA MABAYA: Unapoona baya kataza kama vile dhulma,ugomvi,wizi,uonevu nakadhalika

11.ZUNGUMZA KWA UPOLE: Shusha sauti yako unapozungumza na yeyote hata mtoto mdogo na wala usikaripie watu kuwa na hekma na upole

12.SAMEHE: Wasamehe waliokukosea hata iwe kosa la aina gani nawe Allah atakusamehe na wala usikubali kunyenyekewa wakati unapoombwa msamaha

13.HESHIMA: Kuwa na heshima kwa kila mtu ndipo utaishi vizuri na jamii mkubwa mheshimu mdogo na mdogo mheshimu mkubwa

14.KUWA NA FURAHA KWA WENGINE: Hata ukiwa na majonzi hata huzuni jaribu kucheka na watu ili uwe mchangamfu

15.MTEMBELEE MGONJWA; Hii ni haki ya muislamu kwa muislam mwenziw unapaswa kumtembelea anayeumwa ili kumfariji

16.SAFISHA NJIA: Ondoa uchafu kwenye njia yeyote inayopitiwa na watu ikiwemo mawe makaratasi vinyesi vya wanyama n.k.

17.MLISHE MKEO: Lisha familia yako kwa kadri ya uwezo wako wote
 
Back
Top Bottom