Tujitafakari!
Ikiwa mtu akisababisha ajali au makosa lesni yake inafungwa ili kutoa nafasi ya kujirekebisha au kujutia umefika wakati sasa hata cheti cha ndoa kitambulike kama leseni mtu akisababisha ndoa kuvunjika kwa sababu zinazokera kama ugoni na kutelekeza ndoa basi afungiwe kuoa au...
Hili tatizo limeota mizizi katika familia nimekuwa nikishuhudia ndugu zangu wakike hawaolewi na wakiolewa ndoa hazidumu. Nafikiri labda mizimu ya ukoo imekasirika au vipi lakini sio jambo la kawaida.
Nimejaribu kuunganisha doti maana babu alimuoa bibi akiwa na miaka 70+ huko na baada ya ndoa...
My Take
Watu wanafunga ndoa harafu wanavunja ndoa Sasa nini maana ya kuchangisha watu?
https://www.instagram.com/p/DZCeSLvCRhz/?igsh=ZnJ5Mml3Zzd6bmt2
Itungwe sheria ya lazima
============
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amesema katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Aprili, 2025...
Wakati fulani nimekuwa nikimtizama Joel Nanauka kwa upande hasi kwenye content zake ila sasa namuelewa. Joel kama umemsikiliza vizuri au kumsoma, hoja zake nyingi ni upande wa jamii inavyochukuliana, au vile mtu mmoja anavyomchukulia mwingine. Nyuma yake pakijaa chuki, uzandiki, roho mbaya, wivu...
Wanawake hawaheshimu taasisi ya ndoa Ile tabia ya uchumba huwa inayeyuka mpaka wanakuwa wanyama ndani ya ndoa zetu.
Poleni sana wanandoa.
Kupitia hili sisi wanaume tujue kwamba kumzalisha mke watoto wengi hakumfanyi mwanamke ajenga commitment zaidi kwenye ndoa,. Au kumpa zawadi ya gari/nyumba...
Baadhi ya ndugu na Wakwe wa wapenzi wetu ndiyo chanzo cha ndoa kuvunjika
Maisha ya mapenzi na ndoa ni swala la faragha kati mume na mke
Kawaida kwenye kuishi inatakiwa waishi wawili tu na watoto wao ili wawe na focus nzuri ya kujenga familia yao
Inapotokea watu wa pembeni kuanza kuingilia...
Ndoa ni agano takatifu linalomuunganisha mwanaume na mwanamke mbele za Mungu. Hata hivyo, ndoa nyingi zimevunjika au zimejaa migogoro mikubwa isiyoelezeka, kiasi cha kuwafanya wengine wafikirie kukataa ndoa.
Matatizo ya ndoa wakati mwingine chanzo chake ni cha kiroho. Biblia inatufundisha kuwa...
Jamani niliachwa na baba mtoto wangu,vimbwenga + vituko akaoa mke mwingine akawa anaishi nae hadi mwanamke akazaa nae saizi wameachana, analialia anataka turudiane
Huku kwangu kumejaa hakuna nafasi Tena nabaki nacheka Sana na uyu single father nusu nipate depression huo mwaka 2020 Leo 2025...
Tukiwa tayari tumezaa wote watoto wawili wa kiume uchumi wangu ulidorora hali iliyo leta mgogoro ambao baadae ulipelekea kuachana. Watoto nilibaki nao Mimi nikawapeleka kwa mama yangu mzazi. Sababu? Siku ya tukio yalitokea majibizano akanimwagia uji wa moto, haukunijeruhi sana ila ulinipa makovu...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, nipo kwenye mahusiano na mwanaume mwenye miaka 45, tulianza mahusiano mwaka jana, mambo yalikuwa vizuri tu, alinieleza kuwa alizaa na huyo mwanamke akamsaliti kwahiyo wamebaki kulea mtoto.
Sasa mwaka huu kuna siku nikaona amepost watoto status, watoto...
Nilipata BWANA Nikaondoka kwa mume wangu bila kufukuzwa baada ya maisha kuwa magumu nikamwachia mtoto wa miaka minne basi mume akaniomba twende nikamkabidhi mtoto ustawi wa jamii.
Tukaandikishana nikaondoka nikaenda kupanga ni mwaka sasa dah huku mtaan kwa moto nahtaji kurudi kwa mume wangu na...
Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka.
WANAWAKE
MacKenzie Scott (Jeff Bezos) - Talaka yenye fidia kubwa zaidi duniani: MacKenzie Scott...
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa.
Conditions:
Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja
Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana
Kutakuwa kuna...
Na Paul R.K Mashauri
Kama wewe ni mfuatiliaji wa takwimu mbalimbali, utagundua kwamba, utafiti ndani na nje ya Tanzania unaonesha kwamba idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku inazidi kuongezeka na sehemu kubwa ya wanaodai talaka ni wanawake.
Utafiti pia unaonyesha, sababu inayoongoza kwa...
Habari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.
Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee...
S/N
MASWALI
MAJIBU
1
Mtoto wa umri gani analazimika kisheria kubaki na mama pale wazazi wanapotengana au kuachana?
Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 iliyofanyiwa marekebisho Mwaka 2019 kifungu cha 26 (1) (a), (b) (c) na (2) inaeleza kwamba endapo wazazi watatengana mtoto atakuwa na...
Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa
Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani.
Mwanamke huyo anadai kwamba nyumba hiyo walijenga pamoja...
Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake...
Ndugu,Jamaa na Marafiki kwa sasa kumekuwa na Wimbi kubwa la watu kukata tamaa na kuamua kukatisha maisha kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kimahusiano,Ukosefu wa ajira, na mambo mengine kama hayo.
Sasa kwa kuwa watu hawa wengi ni waumini wa Madhehebu mbalimbali ni muhimu sasa kanisani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.