unabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Unabii Tanganyika: Kwanini tunapitia haya? Je ni nini tafsiri yake kiroho!?

    Kiroho, nyakati ngumu zinazopita katika nchi ya Tanganyika hazitokei kwa bahati mbaya, bali hutafsiriwa kama kipindi cha mageuzi makubwa na mtikisiko wa kiungu ili kuandaa taifa kwa hatua mpya. Katika mtazamo wa kinabii, dhoruba za kijamii, kiuchumi, au kisiasa ni ishara kuwa ulimwengu wa roho...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

    Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa. Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿

    NILITOA UNABII NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Unabii na Kulinda Demokrasia: Wito wa Maaskofu wa Zambia Kabla na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2026

    Muhtasari wa Kitendaji Makala hii inachambua wito wa kichungaji wa Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 13 Agosti 2026, ikilinganishwa na misingi inayosimamiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Wakati mazingira ya kijamii ya Tanzania...
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania Chapa ya mnyama unabii na pesa za kidijitali

    Miaka ile wakati nasoma Biblia ikiwa imeandika kwamba siku hizo hutouza wala kununua kitu mpaka uwe na chapa ya mnyama nikawa nashangaa sana. How? Tunaenda sokoni, dukani, tunanunua mahitaji yetu, sasa hii chapa ya mnyama itatumikaje? Nikaona ebu tusubiri labda ni nyakati ambazo sisi tutakuwa...
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Unabii wa mwezi wa 8

    🔊 UNABII WA MWEZI WA 8 Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa imani. Maono niliyoandika leo: 1. Naona tasnia ya Bongo Fleva ikipata pigo kubwa. 2. Naona katika...
  7. min -me

    JamiiForums Tanzania Natabiri

    Mimi min, baada ya miaka 500 kutokea ,leo atatokea mdada , kipanga mwenye haiba na DNA yangu, na humu JF itakua kubwa mno yeye ataimiliki kwenye enzi hizo😉 Nipo karibu sana na kufa, wanangu wa meditation kaeni mkao wa kula😉
  8. K

    JamiiForums Tanzania AFCON U-17 Morocco: Kauli ya Miraji Maramoja “Tuwaache Tusiwaingilie” Imekuwa Unabii Uliotimia Serengeti Boys?

    Wakuu salamu, Wakati timu yetu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) ikielekea nchini Morocco kwenye fainali za AFCON U-17, mchambuzi mahiri wa soka nchini, Miraji Maramoja, alitoa kauli fupi lakini nzito sana: “Tuwaache tusiwaingilie.” Wakati ule, wengi walichukulia...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni Afrika pekee watu kama IPM wanapewa hadhi ya unabii iliwali wao ni comedians

  10. G

    JamiiForums Tanzania Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
  11. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kinachoenda kutokea Tanzania

    11/12/2025 when i was sleeping during midnight I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road. One servant of God said “She is in the process to have death“ Pray for Tanzania 🇹🇿 Proverbs 14:34 "Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unabii wa Godbless Lema umetimia, mmeua vyama vya upinzani sasa pambaneni na Gen Z

    Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata. Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani mmebaki kuwaonea viongozi wa Chadema mnaowajua na mnafahamu ofisi zao zilipo...
  13. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Maono neno la Unabii kutoka kwa watu wa kweli real/genuine wa Mungu wa kweli

    1.miaka miwili ijayo kuanzia sasa ni miaka mibaya sana ya shida kubwa/dhiki kubwa mateso makali ambayo haijawahi kutokea..Watu wa Mungu watapitia changamoto..na hapo ndio utajulikana kama unampenda Mungu kweli na unampenda kweli na kama umeokoka kweli. Waabuduo halisi watamuabudu Mungu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unabii wangu: Samia hatamaliza miezi 18 kama Rais wa Tanzania

    Nimetoa miezi 18 lakini muda ni mfupi zaidi naomba save huu ujumbe halafu tutaona sitatoa deals sana
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila juu ya yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025

    Wakuu! Mmesikia Unabii mzito wa Mchungaji Dickson Cornel Kabigumila ambao ametoa katika ibada iliyofanyika Septemba 07, 2025, akieleza juu ya mambo yatakayojiri kabla ya Oktoba 29, 2025?
  16. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania Je, Unabii Huu Wa Prophet Rollinga Kwamba Siku Ya Ijumaa 29/8/2025, Kuna Kitu Kitatokea Utatimia?

    Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu... Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri... https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Pita hapa uone jinsi AI inavyotumika kutimiza ule unabii unaohusu mwisho wa dunia!

    Yesu Kristo alipokuwa akizungumzia dalili za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alisema maneno haya yenye uzito mkubwa: “Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.” (Mathayo 24:14) Kwa karne nyingi...
  19. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Taarifa nyingi za kinabii hususani za kisiasa zinaonesha upo uwezekano wa siri kuvuja mahali na wao kutumika kama njia salama ya uvujishaji

    Kutokana na uzoefu mdogo nilionao wa kufuatilia hoja na kuunganisha nukta zake huku nikijaribu kurudi nyuma ya misukumo iliyopo nyuma ya hoja nimeweza kubaini kuwa nabii nyingi zinazotolewa hususani za kisiasa hasa hasa kipindi hiki cha karibu na uchaguzi zinatusukuma kushuku kama kuna mahali...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu msiendekeze siasa mtaendelea kuumbuka pale unabii wenu wa kichawi na kilozi unapokwama nyie wapuliza mitungi ya gesi

    Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid! Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa. Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
Back
Top Bottom