Kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani, Saudi Arabia imepiga marufuku matumizi ya vipaza sauti misikitini.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,319
20230312_104856.jpg
 
Lengo lilikuwa kuwataaribu watu muda wa kuswali. Sasa hivi kila mtu ana saa au simu vipaza sauti vya kazi gani. Halafu Quran imekataka kuswali kwa sauti lakini unakuta msikiti una maspika na wanaongoza ibada kwa sauti kubwa. Unajiuliza, kwani hawasomi Quran hawa.....
 
Back
Top Bottom