isaya

Isaya Yunge (born 23 March 1990) is a Tanzanian internet entrepreneur, speaker and first African J8 delegate to speak at the G8 2007 Summit. In 2018 he was among the five Tanzanians who received the Queen's Young Leader Award as recognition for his work to use a scholarship-matching mobile App (SomaApps) that help more than 7000 young African people to progress in their education. He is the creator of SomaApps a mobile application which enables African students to search for scholarships.In 2007 he was selected by UNICEF to be the UNICEF Africa Youth Ambassador[4] and in this position at an age of 17's he spoke at the G8 2007 Summit as UNICEF Africa Youth Ambassador in Berlin Germany. In 2019 Yunge was named by avance media to be among the 50 most influential young Tanzania's.

View More On Wikipedia.org
  1. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Picha ya wakati Isaya Yunge akimvalisha pete binti wa Ruto

    Nataka kuona Yunge anamvalisha Charlene pete nani alipiga magoti? Au wote walikuwa kama kambale?
  2. O

    JamiiForums Kenya Charlene Ruto Afanya Sherehe ya Koito na Mchumba Wake Mtanzania Isaya Yunge

    Binti wa Rais William Ruto, Charlene Ruto, amefanya sherehe ya jadi ya Koito na mchumba wake, Isaya Yunge, mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania. Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi, Agosti 8, 2026, katika Intonna Heritage Farm, Kilgoris, Narok County, huku familia za Charlene na Yunge...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge awakwepa Wadangaji lia-lia (wapiga vizinga, njaa kali) Bongo!

    Mwamba kakwepa kiunzi cha wadangaji wa bongo njaa kali. Kaenda kwenye ufalme wa maziwa na asali, familia bora ya Ruto. Poleni sana wadangaji lia-lia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge, Kijana kutoka Mwanza, anamuoa binti wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, Hii hapa Cv Yake

    Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mstari huu Isaya 4 mstari 1

    Kitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version] *Isaya 4:1 Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; tuitwe tu kwa jina lako tu; utuondolee aibu yetu. Twende kazi
  6. mtotofisi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matokeo ya Kura za Maoni Kongwa Isaya Mngulumi Kawagalagaza wenzake

    Kwenye Uchaguzi wa kura za maoni CCM kwenye Jimbo la Hayati Job Yustino Ndugai, matokeo yaliyotangazwa na Karibu wa CCM wilaya ya Kongwa dr Isaya Moses Mngulumi amewashinda makada 12 Kwa kupata kura 4,436 SAWA na Asilimia 45.26 akifatiwa na Dr Samora mshang'a aliyepata kura 2,834 swa na Asilimia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je, Mathayo aliunda unabii kwa makusudi au aliichukua aya ya Isaya nje ya muktadha na kuitumia?

    “Simulizi za Mathayo” Mathayo anasema kuhusu Yohana: “Huyu ndiye aliyenenwa na nabii Isaya aliposema: ‘Sauti ya mtu aliye jangwani: Itengenezeni njia ya Bwana, nyoosheni mapito yake.’” (Mathayo 3:3) Lakini je, Isaya alikuwa anamtabiri Yohana Mbatizaji aliposema? “Sauti ya mtu aliye...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Isaya 41:10 maandiko yanasema

    Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja mawe, usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako, nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Ongeza ya kwako. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya tukuwa tunazaa na kulima Yohana naye anatumbia vingine nani tumuamini?

    Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya/Yerusalemu mpya Kutakuwa na maisha kama ya hapa duniani tu yaani anasema watu watajenga nyumba watalima Wazee hawatakufa kabla ya wakati (hivyo kumbe kuna kufa tena kwenye mbingu hii) Na watazaa watoto kama kawaida haya yote yameandikwa na nabii isaya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro. Umuamuzi huo umetolewa leo August...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

    Anasema, Ardhi hii ilikuwa yetu na Milele Daima, itakuwa yetu !!. Salaam alaikum, Kichapo kitaendelea tu, hamna namna !!. Israel ni Uthibitisho na Kielelezo cha kuwa MUNGU YUPO NA NDIO ALIYEUMBA DUNIA.
  12. Mtewele isaya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  14. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mungu alikatazaga Kusherehekea sikukuu za miandamo ya Mwezi Isaya 1:14 (NENO)

    Isaya 1:14 (NEN) Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: moyo wangu unazichukia. Zimekuwa mzigo kwangu, nimechoka kuzivumilia. Leo nimeamka alfajiri sana niingie kwenye maombi maana nimetenda dhambi nyingi za kuchepuka hapa canada ili mke wangu akirudi anikute nikiwa...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Neno kutoka ISAYA 11

    Ufalme wa amani 1 Kutatokea chipukizi katika kisiki cha Yese, tawi litachipua mizizini mwake. 2Roho ya Mwenyezi-Mungu itakaa kwake, roho ya hekima na maarifa, roho ya shauri jema na nguvu, roho ya ujuzi na ya kumcha Mwenyezi-Mungu. 3Atafurahia kumcha Mwenyezi-Mungu. Hatahukumu kadiri ya...
  16. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

    Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza. Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake. Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
Back
Top Bottom