bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Tujuze Online TV: Swali Kuhusu BAKWATA

    https://youtu.be/aiKGF_wPISk?si=5kk8dH-yAG6vnAEB Je, ni akina nani waliokuwa nyuma ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika kabla na wakati wa kuanzishwa kwa TANU? 🇹🇿 Kwa nini baadhi ya majina ya viongozi na wanaharakati waliokuwa sehemu muhimu ya harakati hizo hayatajwi kwa uzito unaostahili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ijetenge na kauli za Ostaz Juma Namusoma

    BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda. Kinachotia mashaka ni kwamba kila anapokosolewa kwa kauli zake, huonekana kujisitiri nyuma ya viongozi wa BAKWATA. Aidha, mara nyingi...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    "No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je Bakwata wametoa wapi mamlaka ya kutangaza mapumziko ya kitaifa 25 August 2026

    Guys Hii ni maajabu . sasa hili taifa ni familia ya paka kila mtu and ndevu. Je hili litangazo kuwajuisha umma kwamba tarehe 25 August 2026 mapumziko ya kitaifa hayo mamlaka wametoa wapi. Kwa hiyo hata siku diamond akiwa na birthday anaweza kutuamuru tumpuzike aha ha ha a kaaazi kwelikweli...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hadi sasa BAKWATA ipo kimya kuhusu tume ya kuchunguza kuondolewa kwa Sheikh Walid?

    Kwanini mpaka sasa kimya kuhusu tume ya kuchunguza kuondolewa kwa sheikh Walid? Tangu ilipotangazwa kwamba imeundwa tume ya kuchunguza na kutoa ripoti kuhusu suala la kuondolewa kwa Walid, mpaka sasa kumekuwa na ukimya mkubwa. Maswali ya msingi bado hayajajibiwa: Wajumbe wa tume hiyo ni akina...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika. Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa EAMWS na Kuundwa BAKWATA 1968

    https://youtu.be/jrKB04KZZgk?si=WOSyzNai_st_yDcB
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mufti onyesha nguvu za Mungu kumsaidia Sheik Walid Kawambwa, ameonewa. Kuna siku nawe yatakukuta haya haya

    Sisi watanzania waumini na wasiokuwa waumini tuko nyuma ya Walid Kawambwa. Tuhuma zote anazotoa huyu dada, Bella dhidi ya sheikh walid kisheria ni makosa ya jinai ambayo huyu dada alitakiwa kuripoti polisi badala ya kuja kwenye vyombo vya habari. Makosa ya kijinai hamuwezi kuyahukumu nyie...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Msikiti wa Kichangani, Sheikh Walid hajatokea

    Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa. Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
  10. je parle

    JamiiForums Tanzania BAKWATA SAA ZINGINE WANATIA AIBU MPAKA BASI . Inamaana suratul hujurat aya ya 6 hamuijui???

    Kufuatia suala la sheikh Walid km kawaida yao wamekurupuka km wanavyokurupuka kwenye muandamo wa mwezi Huenda ni maelekezo kutoka juu ila suala la siasa life nguvu kwa muda Haya Allah tabaraka wataala anasema katika verse no.6 katika suratul hujurat kama ifuatavyo يَا أَيُّهَا الَّذِينَ...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania BAKWATA na Serikali waseme ukweli sababu ya kusimamishwa shehe wa Mkoa Dar es salaam

    Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi. "Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa. Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu. Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mpeni adhabu ya kisharia shakh Walid Kawambwa hii itamsafisha na huu uchafu.

    Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh Fanyenye hivi kwasababu nyie na...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania KKKT Msikubali CCM iwageuze BAKWATA

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ni chombo kinachosimamia maslahi ya waislamu Tanzania lakini lisilokubalika na baadhi ya kizazi kipya cha waislamu. Vijana wengi wa kiislamu hulishutumu Baraza hilo kutumiwa kisiasa kufanikisha maslahi ya CCM. Miaka ya hivi Karibuni BAKWATA walibadili...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania KKKT mnatuangusha waumini wenu

    1. KKKT huwambii kitu, wao wamehaidiwa kuwa Rais awamu ya 7 atakuwa mKKKT, wao hawakemei mauaji, ufisadi wala wizi wa uchaguzi 2. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea mauaji ya 29 oktoba 3. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea utekaji na mauaji ya Watanganyika, nyie mnaona sawa? 4. Kanisa langu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Lucas Mshamba,Lucy Mikael,Yona wa Chalinze,Mwalimu na BAKWATA kuongoza utetezi wa CCM kwenye bunge la seneti huko Marekani

    Habari za ndani zina sema mwezi wa sita mwishoni ujumbe wa CCM ukiongizwa na watajwa hapo juu utaelekea Marekani ili kuitetea serikali ya CCM kwa mauaji yaliyotokea October 29 30 na 31 pamoja, uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, utekaji, kuuwawa na kupotezwa kwa watu kwa kipindi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA wafanya Dua kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29

    KATIBU wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Sheikh Hassan Said Chizenga, ameongoza dua maalumu ya kuiombea Tume ya Matukio ya Oktoba 29, akisisitiza umuhimu wa haki, uwazi na maridhiano katika mchakato mzima kuelekea ripoti ya tume hiyo. Dua hiyo inalenga kuiombea Tume iweze kutekeleza majukumu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Bakwata wanataka Haki na Amani au Wali?

    Na MMM UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri. UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  19. technically

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ilianzishwa na nani na ni kwa maslahi ya nani?

    Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani? Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar? Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd Lakini wao wanasema mpaka kesho Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho. Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mtu akikusanya matrilioni alafu akajenga banda la kuku huyo ni fisadi, BAKWATA wamekusanya matrilioni yako wapi?

    Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
Back
Top Bottom