honeymoon

A honeymoon is a holiday taken by newlyweds immediately after their wedding, to celebrate their marriage. Today, honeymoons are often celebrated in destinations considered exotic or romantic.

View More On Wikipedia.org
  1. The Evil Genius

    Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

    Wakuu, habari za muda. Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women. Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3. Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali. Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni...
  2. Kijakazi

    Honeymoon imeisha, ukiona wanaanza kwenda Misikitini na Camera!

    Globalist wanataka matokeo sasa, fungate imeisha, mara nyingi wakianza kubanwa huwa wanaanza kurudi na kutafuta huruma, muda umewadia kunakaribia kukucha, nwo hana rafiki wa kudumu bali maslahi tu,
  3. JF Member

    Muda wa majonzi nchini umeisha sasa Rais Samia ajiandae kwa kazi

    Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli. Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa watangulizi wake; Mwaka wa kwanza huwa ni wa kulekebisha palipoharibiwa na watangulizi baada ya hapo...
  4. my name is my name

    Hivi kuna nini kwenye honeymoon?

    Hivi honeymoon inakuwaga tofauti na vacation za kawaida ambazo wapendanao wanaendaga? Au haina tofauti zote sawa?
  5. L

    CHADEMA kila siku mnakosea target, Siasa zenu hazivutii tena

    Wabunge zaidi ya 80% wa CCM hawakupatikana kwa njia halali. Kwanini nguvu msiiweke kuwandoa hao wana ccm waliopatikana kwa mtutu. Hayo hamfatilii mnapambana na wabunge 19 tena waliokuwa makamanda wenu. Nani aijui kazi ya mdee, matiko na bulaya. Hivi na wewe Mwalimu (naibu Zanzibar) unataka...
  6. R

    Unatarajia kufunga ndoa karibuni? (Honeymoon experience)

    Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya Serengeti. Tegemea ushauri wa kitaalamu kutoka kwa muongoza watalii mwenye uzoefu wea miaka 14 aliyeongoza...
Back
Top Bottom