kutoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Legend

    Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

    Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
  2. 1

    Hongereni Yanga kwa kukataa kutoza fedha msibani

    Siku ya tarehe 30/3/2024 kutakuwa na msiba mzito pale kwa Lupaso, Mamelodi wamejipanga kufanya kitu kibaya mnoooo, sasa wajanja na wenye akili pale Jangwani wameona kwa vile siku hiyo itakuwa ni siku ya msiba, hakuna sababu ya kuchukua viingilio vya watu, watu waende msibani bure.Huo ndio...
  3. R

    Kampuni inayosimamia wrong parking DSM inatumia sheria gani kutoza faini? Ni kigogo gani anayewakingia kifua wasitoe control number?Nani mmiliki?

    Kuna kampuni imeanzishwa au kupewa tender inayokwamisha biashara nchini kwa kigezo cha wrong parking Kampuni hii imekuwa chanzo cha wageni kugoma kutumia bandari yetu au kupeleka image mbaya nje ya nchi. Kampuni haitoi control number ya malipo wanayodai wateja, haina risiti ya uthibitisho wa...
  4. BARA BARA YA 5

    Gazeti la Mwananchi kuanza kutoza gharama za kusoma taarifa zao

    Nimesikia leo kwamba wataanza kutoza kupata habari zao, ambapo kwa siku ni Tzs. 500, hapa najiuliza yaani wameona pamoja na gawio wanalopata kwenye MB tunazotumia, wameona haitoshi. Halafu habari za kulipia 500 zina uzito gani, hebu watuache.
  5. Analogia Malenga

    Bodi ya Rufaa ya Mapato ya Kodi yatangaza kutoza Kodi ya kushikilia Mapato kwa kampuni za ndani

    Bodi ya Rufaa ya Mapato ya Kodi (Bodi), imefanya uamuzi muhimu kuhusu kutoza kodi kwenye mapato yaliyoshikiliwa kwa kampuni za ndani. Katika kesi ya rufaa kati ya Gateway Gaming Tanzania na Kamishna Mkuu (TRA), Bodi imetangaza kuwa kodi ya kushikilia na riba inapaswa kulipwa kwa mapato...
  6. R

    Waziri wa elimu lingalie hili la walimu hasa wa Primary kutoza pesa kila siku eti ni mitihani

    Sasa ni kawaida. Kila siku watoto wanakuja wanadai hela eti kuna mtihani. Kila siku kuna mtihani. Enough is enough.
  7. M

    Kutoza 'Parking fee' Kwa sehemu Public si sawa

    Yaani umepaki gari mtaan ukaenda tu kwenye fremu za maduka kununua bidhaa ukirudi unakutana na risit ya kulipa ushuru wa maegesho. Ushuru wenyewe wanaenda kugawana psho huko Hazina na Halmashauri kisha CAG anakuta madudu matupu. Hii si sawa
  8. Richard

    DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  9. BARD AI

    Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    "Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha kuwatoza watumiaji ada ya kila mwezi ya $20 ili kuweka beji yao ya tiki ya bluu. Inaelezwa kuwa...
  10. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli asingekubali kutoza tozo za laini ya simu kwa wanyonge. Huku ni kuonea watanzania. Mbona alifanya makubwa bila tozo?

    Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe yanaingia mfuko mkuu wa serikali. Na hapo akawa amepatia akafanya makubwa. Akajenga hospital, vituo...
  11. Analogia Malenga

    RC Dodoma ashauri kutoza faini ya Tsh. 10,000/- kwa wasioimba wimbo wa Taifa

    Nukuu: “Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi wanafanya mzaha kwenye kwenye kuimba wimbo wa Taifa kwakweli watu waliokuwa wanaimba hapa hawatii maadili...
  12. Suzy Elias

    Hivi mnajua Mwigulu hatanii?! Hivi punde ataanza kutoza tozo kwenye kila mfugo.

    "...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji naelewa ninacho kizungumza." Amesema Waziri Mwigulu.
  13. Replica

    Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana. Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther ===== Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60...
  14. Lycaon pictus

    Kutoza watu pesa kuingia viwanja vya Sabasaba na Nanenane haijakaa sawa

    Kwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya Mei mosi? Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
  15. Kurunzi

    TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  16. K

    Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Habari za wakati huu wana jamvi, Billa kupoteza wakati Kuna kitu jana nimekishuhudia nikabaki kinywa wazi. Kuhusu hizi nafasi ambazo serikali imekuwa ikitangaza hivi karibuni Katika halmashauri na wilaya mbali mbali nchini kuhusu kazi ya kukusanya na kuweka vibao vya ANWANI ZA MAKAZI. Jambo la...
Back
Top Bottom