Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.
Nyongeza ya mishahara iliyovunja rekodi ya 35.1% na 23.3% baada ya kuondolewa miaka 6 na ajira mpya 96,000, kupunguza kodi ya mshahara (PAYE), kupandisha vyeo watumishi 631,000, kulipa madeni, malimbikizo zaidi ya Trilioni 1.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Jumanne kwenye Gazeti la Uhuru ukurasa wa...
Moderators naomba uzi wangu usitolewe hadi pale nyie jamiiforums mtakapo niletea ukweli juu ya uongo wa kina mchungaji Bandikile wa kutengeneza gazeti bandia na kulipa tuhuma nzito serkali yetu hasa rais wetu kuhusika katika kashfa za kijinga zilizotajwa kwenye gazti hilo la uongo [Fake...
Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni binafsi ya C-C Digital Pro ndio huratibu Kila kitu online Chini ya Mkurugenzi na Chief Editor wake...
Mfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyagulo Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi.
Taarifa iliyotolewa Ofisi ya Rasilimali watu MCL imethibitisha kutokea kifo
cha King Kinya...
📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA.
Na Bwanku M Bwanku.
Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
Gazeti hili la Jamvi La Habari, linalomilikiwa na Habibu Mchange haligusiki. Limekuwa likichapisha mambo ya ovyo, na hakuna anayeligusa.
Hili gazeti kwa Awamu ya 6 nalifananisha na ‘Tanzanite’ la Awamu ya 5. Watu wa Mfumo wamekosa ubunifu kiasi hiki? Hii ndo thinktank yao?
UONGO: Malecela...
ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
GAZETI LA MWANASPOT
SIMBA YAWEKA REKODI MPYA YA VIPIGO CAF TANGU ......
HATA HIVYO WANACHAMA WAMESEMA WAFANYE WAFANYAVYO WAO WANAITAKA ROBO FINALI
😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 NAPITATU
Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao.
Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
To me, nahisi by 99% ni ile interview ya Warioba.
Why? Manyerere aliyemhoji Warioba ni News reporter wa Jamhuri media. Ile interview ulikuwa mwiba mkali sana kwa serikali na matendo yake ya 29 October 2025, maana it was TRUTH TRUTH TRUTH DEEP IN THE BONES of which watawala hawataki kusikia...
Hawa jamaa wanadai kuwa mauaji ya Octoba 29 yalipangwa wiki kadhaa kabla ya tukio. Wanaongeza Kuwa maiti zilitupwa ziwa viktoria:
https://www.thesun.co.uk/news/37552276/africa-female-tyrant-butcher-tanzania-family-cabinet/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.