Si salama kufanya uhalifu wa njia ya mitandao ya Kijamii kwasababu Kampuni ya META inashirikiana na Serikali zote duniani kukatama wahalifu wa njia ya mitandao ya kijamii
Mara kadhaa Kampuni hii imekuwa ikisaidia Mamlaka kukamata wahalifu wanaotumia njia ya mitandao ya Kijamii
Ikiwa mamlaka...
Winga wa Real Madrid, Vin Jr amefuta picha zote kwenye mtandao wake Instagram leo Jumatano Agosti 5, 2026.
Winga huyo ambaye anahusishwa na Arsenal amefuta picha zote kwenye mtandao huo pamoja na kuondoa 'pofile' picha pamoja na utambulisho wa Real Madrid.
Instagram is currently experiencing a widespread global outage, with thousands of users reporting app failures, blank screens, and connectivity issues since earlier this afternoon. The disruption is primarily affecting the mobile app and server connectivity.
Since Meta has not yet released an...
Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi
Nawala anayechukia achukie
Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
Wakuu,
Kama unahangaika kupost video/picha katika mtandao wa Instagram na ndugu yake Facebook usije ukatupa simu yako ukadhani imekuwa kimeo.
Watumiaji wa mitandao hiyo katika maeneo mbalimbali duniani wameripoti kupata changamoto wakijaribu kupost maudhui yao au hata kuweka comment kwenye...
Mwaka 2014 wakati bwana Zuckerbeg anainunua whatsapp kwa dola za kimarekani 19 B watu waliona kama ni uharibifu wa pesa. Haikuwa clear ni kwa namna gani hii app ya kuchat itaweza kuingiza pesa. Fast forward 12 years later, sasa iko wazi jamaa anataka kurudisha pesa zake.
WhatsApp imeanza...
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions)
Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.
Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
Mahakama Kuu ya Mombasa imemhukumu Murad Awadh Mbarak (40) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumuua mke wake, Nuru Ibrahim, katika eneo la Kanamai, Kaunti ya Kilifi.
Mahakama ilisikia kuwa mnamo Juni 19, 2022, Mbarak alimchoma kisu mke wake huyo mwenye umri wa miaka 28 mara kadhaa kufuatia...
Habari,
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, nahitaji kuuza account yangu ya instagram yenye followers 16.4k kwa kiask cha 200,000/= Tsh. Nahitaji msaada wa kujua namna gani nitaweza kuiuza kwa haraka. Kwa mwenye uhitaji usisite kunipigia 0714657573.
Ahsante
Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na ambapo mantiki inaonekana kama ni adui.
Hivi sasa, ukiingia TikTok au Instagram, hutakutana tu na...
Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
Habari kwa mtu yeyote ambae anaweza kunisaidia kurejesha Account yangu ya Instagram nina toa shillingi elfu 50 cash kama upo njoo DM uaminifu ndo kitu mhimu account baada ya kufungwa inasomeka
We disabled your account, cee
Hi ce__
We reviewed your account and found that it still doesn’t...
Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta?
Inampataje kwa njia gani? Na kama alipost kitu akiwa anatumia VPN je inawezekana pia kumpata?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.