amavubi

 1. MziziMkavu

  LHRC, Amnesty International wataka Mbowe aachiwe na uhuru wa kisiasa uheshimiwe Tanzania

  Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza. Mashirika yanayotetea haki za binadamu yameikosoa vikali hatua ya Jeshi la Polisini nchini Tanzania ya kuwakamata baadha ya viongozi wa chama cha upinzani nchini humo Chadema...
 2. MziziMkavu

  Athari tano za kiuchumi zinazoweza kutokea baada ya kuongezeka kwa tozo za miamala ya simu Tanzania

  Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo. Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa wananchi wa Tanzania ambao wengi wao ni watumiaji wakubwa wa huduma hiyo. Hali hii imepelekea maswali...
 3. MziziMkavu

  Haya Ndiyo Makazi Ya 60% Ya Walipa Miamala Ya Simu

 4. MziziMkavu

  Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

  Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
 5. MziziMkavu

  Utafiti: Paracetamol yaathiri uwezo wa kuzalisha

  Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye. Wanawake wajawazito wanapaswa kutahadhari zaidi wanapotumia dawa zozote zilizo na chembechembe za Paracetamol. Utafiti wa Wanasayansi nchini Uingereza...
 6. jingalao

  Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

  Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
 7. MziziMkavu

  Mafuriko makubwa ya maji yaliyotokea nchini Pakistan mjini Karachi. Haijawahi kutokea miaka mingi hii ni gharika

 8. MziziMkavu

  IPE NENO KATUNI YANGU YA LEO.....

 9. MziziMkavu

  Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la makuti. Loohh! majangaaa hayo

 10. MziziMkavu

  Video: Padri Pascal Luhengo wa jimbo la Mahenge Morogoro amuomba msaada Rais Samia Suluhu baada ya kukimbia nchi na kwenda mafichoni

  WEZI WATEKA AKAUNTI YA PADRI, WAIBA MAMILIONI Na EVANS MAGEGE – Dar es Salaam GENGE la kimataifa la wezi wa fedha kwa njia ya mtandao limevamia akaunti ya barua pepe ya Padri Paschal Luhengo wa Kanisa Katoliki nchini na kufanikiwa kuiba mamilioni ya fedha yaliyotumwa na marafiki zake...
 11. MziziMkavu

  Chakula cha Wahadzabe cha matunda na nungunungu Tanzania

  Jamii ya Wahadzabe ni moja kati ya makabila yaliyobaki duniani yanayoendeleza shughuli za uwindaji, inadhaniwa kuwa jamii hii imeishi kaskazini mwa Tanzania, ikila matunda na mizizi, na aina mbalimbali za wanyama kwa miaka 40,000. Mwandishi wa BBC, Dan Saladino alikwenda kuwashuhudia...
 12. Tuko

  Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

  Wapo watu ambao wanasumbuliwa na tatizo sugu la chunusi, madoa doa na kuharibika kwa ngozi. Ingawa chunusi hizi mara nyingi hutikea usoni, wakati mwingine hutokea pia katika maeneo tofauti ya mwili. Kwa bahati mbaya baadhi ya waathirika wa chunusi wamejikuta wakitumia madawa mengi bila...
 13. MziziMkavu

  Mke wa mtu kweli ni sumu

 14. Mshana Jr

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom