dpw

The DPW Worlds Championship is a professional wrestling world heavyweight championship owned and promoted by Deadlock Pro-Wrestling (DPW). The current champion is Lucky Ali, who is in his first reign.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzanzibari Huru

    DPW ni adui wa kanisa na mafisadi na wafanyabiashara

    Wana Jamii HII NI TATHMINI YANGU Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu. Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu...
  2. JokaKuu

    Uwekezaji wa DP-World ni USD 250 milioni ni mdogo kuliko "kishika uchumba" cha Barrick USD 300 milioni

    Watanzania sijui akili zetu zikoje. Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu? Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu. Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa. Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha. Hata...
  3. K

    DPW wameanza kazi?

    Nakumbuka DPW baada ya vuta nikuvute walisaini mkataba wa kuanza kazi. Swali langu. Je wameishaanza kazi?. Kama wameanza kazi wametulipa dollar ngapi?. Na kama bado kuna tatizo gani?.
  4. Dr Akili

    Dkt Slaa na wenzake wanashindwa kuelewa IGA ya DPW haiwezi kuwepo bila mabadiliko ya sheria yetu ya Natural Wealth and Resources Permanent Sovereignty

    Mikataba ya hadhi ya IGA (Intergovernmental Agreement) au BIT (Bilateral International Treaties) au MIT (Multilateral international Treaties) ni lazima ziendane na sheria za nchi husika vinginevyo ni null and void de novo. Hivyo kwa kuwa mkataba kati ya Dubai Emirate na Jamhuri ya Muungano wa...
  5. tpaul

    Je, mikataba ya DP World iliyosainiwa ina kikomo cha miaka 30? Jibu hili hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa kusaini mikataba miatatu ya uendelezaji bandari kati ya TPA na waarabu wa DPW tuliaminishwa na serikali kuwa hii mikataba ni ya miaka 30. Je, mikataba hii kweli ni ya miaka 30 au tumepigwa? Nimejaribu kufanya uchunguzi binafsi ndani ya serikali kwa...
  6. A

    Tanzania Settles $96million dispute with Canadian Firm under conditions

    Tanzania Settles $96million dispute with Canadian Firm under conditions Dar es Salaam Winshear Gold Corp. and Tanzania reached a conditional settlement in a longstanding mining license dispute. Uncertainty remains as the finalization of the settlement agreement is not guaranteed. Tanzania...
  7. ChoiceVariable

    Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

    Licha ya Makelele ya TEC na Chadema ila Msemaji wa Serikali bwana Msingwa amesema Serikali itaendelea na uwekezaji na DP World kama ilivyopangwa ila itazingatia maoni ya wadau. ======= SERIKALI KUENDELEA NA MCHAKATO WA UWEKEZAJI BANDARI NA DP WORLD Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kila hatua...
  8. Burkinabe

    Wanaopinga Mkataba kati ya DP World na Serikali wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono

    Habari wana JamiiForums. Rejea kichwa cha habari chahusika. Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania. Kwa maoni yangu, naona wale wanaopinga mkataba huu wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono. Wale wanaopinga...
  9. D

    Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Ndugu zangu, Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo. Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
  10. B

    Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

    Mambo yanakwenda kama moto wa nyika. Mkataba huu si usitishwe tu? Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki? --- Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  11. Pascal Mayalla

    Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

    Wanabodi, Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue. Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja! Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi...
  12. H

    2025: Ahadi yangu kwa Mungu, kura yangu ni kwa Rais mwenye uwezo wa kutunza rasilimali za Tanganyika, na atakaye ahidi kuliondoa Zimwi la DPW

    KURA YANGU NI KURA YA UPENDO KWA TANGANYIKA: Kwa kuwa mihimili inayoongoza nchi yetu imetoa baraka, kwa maana ya serikali, kupitia ikulu imebariki, bunge kwa mbwembwe na bashasha imebariki, na mahakama imeshindwa kutoa msimamo wake kwa kuogopa kuingia madaraka. Sihitaji kuungwa mkono, wala...
  13. Termux

    Asante DPW kwa kutuonesha Rangi halisi ya nchi yetu

    DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania. Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao. Tumeanza kujionea mambo kama: WABUNGE Kuna baadhi ya...
  14. Pascal Mayalla

    Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
  15. The Burning Spear

    Samia ni Rais wa Watanzania Wote Tunamuhukumu kwa matendo na siyo Dini yake

    Kwa ufupi kabisa sakata la DPW ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba ya nchi yetu. Ndiyo maana hata wanaopinga wanataja vifungu vya sheria ambavyo vimekiukwa. Sasa wale wenzetu wa upande wa pili sisikii wakitaja vifungu chochote cha sheria kuutetea mkataba kwamba ni halali bali na kuongea...
  16. Hukumuzuku

    Kwanini Rais Samia Hassan hadi sasa hajatoa tamko rasmi kuhusu mkataba wa DP World

    Ningependa kujua sababu za msingi za Rais Samia Suluhu Hassan kutowajibika kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba tatanishi wa DPW ambao kwa kiasi kikubwa unapingwa na Wananchi waliyo wengi? Nini sababu ya ukimya wa Rais Samia Suluhu Hassan?
  17. Msanii

    Profesa Tibaijuka ameonesha msimamo wake dhidi ya mkataba wa DPW. Je, naye atafikiwa?

    Hii kamata kamata ya mama Samia dhidi ya wanahoji na kupinga mkataba mbovu baina ya Tanzania na DP World inaonesha ni mkakati B wa kuzima hoja hiyo. Wasomi binafsi wa Cuba tulielewa sana matukio yaliyojiri hivi karibuni ambapo jamii iligoma kuhamishwa kutoka kwenye hoja hii yenye utata mkubwa...
  18. Msanii

    Profesa Tibaijuka ameonesha msimamo wake dhidi ya mkataba wa DPW. Je, naye atafikiwa?

    Hii kamata kamata ya mama Samia dhidi ya wanahoji na kupinga mkataba mbovu baina ya Tanzania na DP World inaonesha ni mkakati B wa kuzima hoja hiyo. Wasomi binafsi wa Cuba tulielewa sana matukio yaliyojiri hivi karibuni ambapo jamii iligoma kuhamishwa kutoka kwenye hoja hii yenye utata mkubwa...
  19. Nsanzagee

    Nyerere alipinga ubinafisishwaji wa bank ya NBC na hakukamatwa, DPW ni mdudu gani?

    Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW? Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
  20. The only

    Njia iliyobaki kuipinga dpw

    Mpaka sasa ni wazi hii kamata kamata na uchawa wa wazi ni kuwa tumebakiza mbinu mbili tu kupinga huu mkataba 1.Kumuomba mungu aamue . 2.Kuchukia kila linalohusiana na serikali ya emirates na kukaa kwao kimya juu ya utawala ulochini yao wa Dubai kuturudishia machungu ya biashara ya utumwa
Back
Top Bottom