Mdudu Joshua Nene (born 28 March 1948) is a South African politician. He represented the African National Congress (ANC) in the National Assembly from 2006 to 2009, representing the KwaZulu-Natal constituency. He was sworn in on 7 August 2006, filling the casual vacancy that arose after Vincent Mabuyakhulu's death. He stood unsuccessfully for re-election in 2009 and 2014.
Maisha ya mende yanahusisha mzunguko wa ukuaji unaopitia hatua tatu kuu: yai, tunutu (nymph), na mende mpevu. Mende ni miongoni mwa wadudu wastahimilivu zaidi duniani, wakiwa na uwezo wa kuishi katika mazingira magumu sana.
1. Mzunguko wa Maisha (Life Cycle)
Mende hupitia mchakato wa ukuaji...
Ndugu zangu habari ya usiku?
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao wadudu wanapiga kelele hatari wakiwa wanakula hizo mbao.
Nimejaribu mara kadhaa kupanda huko juu kuona...
Naandika Uzi huu huku Nikiwa nimegubikwa na huzuni nyingi na masikitiko makubwa sana. Nchi yetu imekuwaje?
Ile nchi tulioisifu kwa mapambio, tungo na ngonjera za kuvutia kwani kuna laana ilioachwa na waasisi Baba wa taifa Mwl. Nyerere na akina Mkwawa? toka kipindi cha kupata Uhuru na Hatujui...
Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete.
Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani.
Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu
Siku ya leo nikawa...
Mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es salaam -Lindi yamekatika tena katika eneo la Somanga kuanzia mchana hadi jioni hii leo April 16,2025 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini ambapo hadi sasa hapapitiki.
Mmoja wa Watumiaji wa barabara ambao wapo eneo la tukio kuwa hadi wakati Waziri...
Kupe ni wadudu wanaoonekana kuwa ni wadogo lakini wanaweza kusababisha kushuka kwa uchumi wa wafugaji kwa kiwango cha juu endapo hawatadhibitiwa kwa wakati.
Pamoja na kuwepo kwa aina mbalimbali za kupe, kupe wa rangi ya kahawia ni wabaya zaidi. Hii ni kwa sababu kupe wanabeba vimelea...
Waswahili wanasema "Akili ni nywele kila mtu ana zake" Najiuliza hii timing ya Mgogoro wa Chadema inaashiria nini wakati kumebakia miezi 10 tu kufikia Uchaguzi Mkuu wa Taifa?
Nini hasa lengo la harakati hizi za kumuondoa Mbowe madarakani wakati ambao Chama kinatakiwa kuwa pamoja wakipanga...
Nitavumilia tu hadi nikirejea kwa Mapumziko au Majukumu yangu Kumalizika huku ili niendelee Kula Mdudu (Kitimoto) kinachopikwa vyema na Watanzania. Yaani Wabongo wote mlioko hapa Jijini Kampala mnatamba Goli (Eneo) la Kitimoto la Machame kuwa ndiyo wanaipika vizuri wakati ukweli ni kwamba...
Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama wa aina mbalimbali.
Haijalishi ni nyumba ya aina gani unaweza kushangaa mdudu au mnyama...
Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1.
Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi.
Kigoma ina watu makini sana...
Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk.
1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa
2. Secretary bird awe ndege wa taifa.
Kuna huyu mdudu anaitwa nzi na wengine husema nzi kutikana na lahaja za maeneo yao.
Eti ni kweli maisha yake hudumu kwa kipindi cha siku 7 tu, na katika muda huo anakua ni kikongwe mzee sana hajiwezi, na anaweza aga dunia wakati wowote kwa sababu ya umri usonga sana kitika kipindi hicho...
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?
Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.