JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Watanzania sijui akili zetu zikoje.
Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu?
Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu.
Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa.
Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha.
Hata kishika uchumba cha Barrick tulichokuwa tunakidharau ni usd 300 mil.
Pia sisi wenyewe tulishafanya uwekezaji mkubwa wa kuboresha bandari ambao ni zaidi ya fedha alizoahidi Dpw.
Kwa habari zaidi fuatilia link hapo chini.

How DP World investment contributes to Tanzania's growing port potential
Dar es Salaam Port manages approximately 95% of the country's international trade, extending its reach to serve seven landlocked countries.
venturesafrica.com