Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,506
113,626
Wanabodi,

Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu. Wananchi tupige kura kulimaliza hili sakata la Dp world
Ushauri tu.

Wengine kwa upande wetu tunaona bora zitoke timu kutoka kila upande unaopinga kwa hoja na unaokubali kwa hoja uwekezaji wa Dp world, hizo timu zizunguke nchi nzima kutoa hoja zao.

Baada ya kutoa hoja zipigwe kura kujua wanaokubali huo uwekezaji na wanaokataa huo uwekezaji baada ya hapo tutakuwa tumeokoa muda wa haya mabishano yanayoendelea.

Au mnasemaje ndugu zangu?

Mshauri wa muda
Mkuu utukufu mwanjisi , baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.

Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.

The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.

Hizi HGA usually takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.

Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, Waziri Mkuu wetu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, alituahidi hoja zenu zote zenye mashiko, zitakuwa zimezingatiwa na kuwa accommodated kwenye HGA.

Mimi kwa upande wangu, hoja zangu kuhusu IGA ya DPW na Bandari zetu ni hizi Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! hivyo HGA ya DPW na Bandari zetu ikisainiwa, nitapenda kuona hoja zangu zimekuwa accommodated vipi?.

Pia nilishauri Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu! hivyo HGA ya DPW na Bandari zetu ikitoka, watu tutapenda kuona hoja za kisheria za IGA zimekuwa accommodated vipi kwenye HGA.

The issue ni moja tu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu

Mkuu utukufu mwanjisi , kwa ruhusa yako, naomba kuitumia hoja yako hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.

Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.

The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.

Hizi HGA takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.

Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, hoja zenu zote zitakuwa zimezingatiwa kwenye HGA.

The issue ni moja tuu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Kuwepo na transparency kwenye mkataba ambao hukushirikishwa wakati wa utiaji saini? Sasa hivi utetezi uko wazi kuwa hilo suala linapingwa kwakuwa ni la muisilamu.
 
Uncle bandari kumepoa wafanyakazi hawaelewi, lakini ukweli ndio huo Mama hana nia ya kujinasua kwakua alipojiingiza akisimama mchale akikaa mchale ila atatupuuza watanzania kwakua anajua sisi ni debe tupu tuu hatuna madhara wala hatujielewi....
HGA itaendelea kua siri kama ilivyo siku zote na pia hakutakua na mkataba uki vuja tena kwa serikali hii ya awamu ya 6
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu

Mkuu utukufu mwanjisi , kwa ruhusa yako, naomba kuitumia hoja yako hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.

Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.

The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.

Hizi HGA takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.

Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, hoja zenu zote zitakuwa zimezingatiwa kwenye HGA.

The issue ni moja tuu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Washawahi kua na hiyo Transparency? Mamb meng hufanyiwa kizani kwa uficho mkubwa san!!
 
Usikivu wa serikali upo wapi sasa kama watu wamepiga kelele kwenye mapungufu ya IGA hadi sauti zimekauka huku hata nukta tu haijahamishwa?

Kama hamuwaondolei kinga ya mashtaka hawa viongozi wenu,wataendelea kuwadharau hadi kiama!
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!.

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu

Mkuu utukufu mwanjisi , kwa ruhusa yako, naomba kuitumia hoja yako hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.

Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.

The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.

Hizi HGA takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.

Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, hoja zenu zote zitakuwa zimezingatiwa kwenye HGA.

The issue ni moja tuu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Kipi chenye nguvu kati ya IGA na HGA.? Sitashangaa serikali kulazimisha hilo ila matatizo yake ni makubwa zaidi
 
Sasa wewe mwenyewe unawasiwasi wa openess ya hizo HGA unategemea nini bwana P ??!
 
Let it come, Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni CCM.
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu ya kuwaletea trends mbalimbali, leo naomba niwaletee hii trends za kinachoendelea kwenye hii issue.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari Zetu, HGA yake iko njiani inakuja!

Naomba kukiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kwa bandiko la mwana JF huyu.

Mkuu utukufu mwanjisi , kwa ruhusa yako, naomba kuitumia hoja yako hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu kusainiwa na Mhimili wa serikali yetu Tukufu, licha ya kuwa na mapungufu lukuki ya kisheria, ikiwemo illegality on the capacity of Dubai to contract an international Treaty, ikapelekwa Bungeni na kuridhiwa na Mhimili wa Bunge letu Tukufu, hivyo hivyo ilivyo without any reservations, na Mhimiliwa Mahakama ukatoa baraka zake za the Separation of Powers, bila Checks and Balance, ya kutoliingilia Bunge, kinachoendelea sasa ni maandalizi tuu ya HGA.

Kwa kawaida HGA zinakuwaga ni confidential, lakini kufuatia sintofahamu nyingi za hii IGA, tuiombe serikali yetu Tukufu, kufanya a maximum transparency kwenye hii HGA ya DPW na Bandari zetu, isiwe confidential as it used to be, iwe open ili wale wote waliopinga IGA kwa hoja za kisheria, waridhishwe kuwa hoja hizo zimezingatiwa kwenye HGA.

The chronology of events ni
1. Kikao kijacho cha Bunge, kitaibadili ile sheria ya Magufuli ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa, ili to accommodate HGA ya DPW na Bandari.

Hizi HGA takes time, mfano mpaka sasa HGA ya mradi wa gesi wa LNG bado haijasainiwa, ila mnaweza kushangaa HGA ya DPW na Bandari zetu ikatoka fasta.

Wale wote mlioipinga hii IGA kwa hoja za kisheria, hoja zenu zote zitakuwa zimezingatiwa kwenye HGA.

The issue ni moja tu, jee HGA ya DPW na Bandari zetu itakuwa open kama hii IGA?.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Usituchoshe na wewe. Hatuutaki mkataba na DPW. Kuhonga tu watu kumemuondolea uhalali. Hatutaki
 
Back
Top Bottom