Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Ndugu zangu,

Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo.

Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni kama utawala wa Mwendazake unaanza kufanyiwa majaribio tena. Toka sasa tegemeeni mabaya zaidi ya Magufuli maana mmeshanywea.

Leo tarehe 25/8/2023 hakuna gazeti la main stream lolote lililoandika habari ya Bandari na DP World. Lililojaribu basi habari hiyo nzito ya nchi imepewa uzito mdogo, tena kurasa za ndani.

Taarifa kutoka ndani ya vyombo hivyo vinadai kwamba Wahariri wametishwa na kusmbiwa, "achaneni na habari za Bandari imetosha". Wapo waandishi wengi waliopeleka habari za Bandari lakini Cha ajabu zote na kote hazikutoka leo.

Inaelezwa kwamba sliyesimamia hiyo show ni Nape Nnauye akipewa maelekezo kutoka kwa mtu mmoja wa karibu sana na Samia (mtu mfupi sana aliyeoa mwanamke mrefu na harusi yake ikatrendi sana).

My take: Kimbilio pekee ni JamiiForums. Kwa niaba ya wanajamii wote humu naomba mmiliki wa JF simama na wananchi maana hata redio za kijamii zimetishwa. Tulipofikia Sasa ni ubavu na misuli ya "muuzaji" wa nchi.

Yesu akiteswa alisema, "msinililie mimi, jililieni ninyi na watoto wenu", tumekwisha. Mex Mello Mungu akulinde unapotulinda. Never give up!
 
Kuna watu wanatafuta kwenda kuishi uhamishoni kwa nguvu.

Pengine hawajali kwani walishajiwekea ukwasi (visenti)wa ajabu huko ughaibuni.

Lakini kama wamesahau niwakumbushe. Marehemu Sani Abacha alijilimbikizia mihela lakini kwa sheria za kidunia za sasa pesa zote alizokwiba au kupata kijanja zilirudishwa na akafa kwa kihoro!

"USIMUAMSHE ALIYELALA, AKIAMKA"
 
Ndugu zangu,
Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo.

Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni kama utawala wa Mwendazake unaanza kufanyiwa majaribio tena. Toka sasa tegemeeni mabaya zaidi ya Magufuli maana mmeshanywea.

Leo tarehe 25/8/2023 hakuna gazeti la main stream lolote lililoandika habari ya Bandari na DP World. Lililojaribu basi habari hiyo nzito ya nchi imepewa kauzito mdogoo tena kurasa za ndani.

Taarifa kutoka ndani ya vyombo hivyo vinadai kwamba Wahariri wametishwa na kusmbiwa, "achaneni na habari za Bandari imetosha". Wapo waandishi wengi waliopeleka habari za Bandari lakini Cha ajabu zote na kote hazikutoka leo.

Inaelezwa kwamba sliyesimamia hiyo show ni Nape Nnauye akipewa maelekezo kutoka kwa mtu mmoja wa karibu sana na Samia (mtu mfupi sana aliyeoa mwanamke mrefu na harusi yake ikatrendi sana).

My take: Kimbilio pekee ni JamiiForum. Kwa niaba ya wanajamii wote humu naomba mmiliki wa JF simama na wananchi maana hata redio za kijamii zimetishwa. Tulipofikia Sasa ni ubavu na misuli ya "muuzaji" wa nchi.

Yesu akiteswa alisema, "msinililie mimi, jililieni ninyi na watoto wenu", tumekwisha. Mex Mello Mungu akulinde unapotulinda. Never give up!
Hao wahariri wa vyombo vya habari waendelee kutishwa hivyo hivyo maana hawajitambui.

Vyombo vya habari ambavyo haviwezi kupigania uhuru wake havina maana yoyote kwa jamii.
 
Ndugu zangu,
Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo.

Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni kama utawala wa Mwendazake unaanza kufanyiwa majaribio tena. Toka sasa tegemeeni mabaya zaidi ya Magufuli maana mmeshanywea.

Leo tarehe 25/8/2023 hakuna gazeti la main stream lolote lililoandika habari ya Bandari na DP World. Lililojaribu basi habari hiyo nzito ya nchi imepewa kauzito mdogoo tena kurasa za ndani.

Taarifa kutoka ndani ya vyombo hivyo vinadai kwamba Wahariri wametishwa na kusmbiwa, "achaneni na habari za Bandari imetosha". Wapo waandishi wengi waliopeleka habari za Bandari lakini Cha ajabu zote na kote hazikutoka leo.

Inaelezwa kwamba sliyesimamia hiyo show ni Nape Nnauye akipewa maelekezo kutoka kwa mtu mmoja wa karibu sana na Samia (mtu mfupi sana aliyeoa mwanamke mrefu na harusi yake ikatrendi sana).

My take: Kimbilio pekee ni JamiiForum. Kwa niaba ya wanajamii wote humu naomba mmiliki wa JF simama na wananchi maana hata redio za kijamii zimetishwa. Tulipofikia Sasa ni ubavu na misuli ya "muuzaji" wa nchi.

Yesu akiteswa alisema, "msinililie mimi, jililieni ninyi na watoto wenu", tumekwisha. Mex Mello Mungu akulinde unapotulinda. Never give up!
Mmesahau kuwa walipelekwa shule Chuo cha Usalama.

Matokeo ndiyo hayo walienda kufundishwa kuwa machawa wa serikali.
 
Em tushauri kwanza, tukuamini ndio ulete ushahidi au tukuamini baada ya kuleta ushahidi?
 
Nape yupo sahihi!!

Walikula Dola 100,000 za Mwarabu kila mhariri. Sasa wanataka tena kukiuka makubaliano?
Au wanadhani Mwarabu atatoa zingine tena? Watulie
 
Ndugu zangu,
Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo.

Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni kama utawala wa Mwendazake unaanza kufanyiwa majaribio tena. Toka sasa tegemeeni mabaya zaidi ya Magufuli maana mmeshanywea.

Leo tarehe 25/8/2023 hakuna gazeti la main stream lolote lililoandika habari ya Bandari na DP World. Lililojaribu basi habari hiyo nzito ya nchi imepewa kauzito mdogoo tena kurasa za ndani.

Taarifa kutoka ndani ya vyombo hivyo vinadai kwamba Wahariri wametishwa na kusmbiwa, "achaneni na habari za Bandari imetosha". Wapo waandishi wengi waliopeleka habari za Bandari lakini Cha ajabu zote na kote hazikutoka leo.

Inaelezwa kwamba sliyesimamia hiyo show ni Nape Nnauye akipewa maelekezo kutoka kwa mtu mmoja wa karibu sana na Samia (mtu mfupi sana aliyeoa mwanamke mrefu na harusi yake ikatrendi sana).

My take: Kimbilio pekee ni JamiiForum. Kwa niaba ya wanajamii wote humu naomba mmiliki wa JF simama na wananchi maana hata redio za kijamii zimetishwa. Tulipofikia Sasa ni ubavu na misuli ya "muuzaji" wa nchi.

Yesu akiteswa alisema, "msinililie mimi, jililieni ninyi na watoto wenu", tumekwisha. Mex Mello Mungu akulinde unapotulinda. Never give up!
Hatuna wa hariri wa vyombo vya habari wengi ni opportunists ndumila kuwili, wanapiga dili serikalini na uteuzi, wakati huo wanajifanya wa zalendo wa kikosa kule.
 
Akipewa maelekezo kutoka kwa mtu mmoja wa karibu sana na Samia (mtu mfupi sana aliyeoa mwanamke mrefu na harusi yake ikatrendi sana).

Tufungulieni Hii Code.
 
Back
Top Bottom