Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu.
Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile...
Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo.
Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute.
Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali.
Baada...
Kuna dhana inajengwa Kwa miaka zaidi ya 25 Sasa, kuwa vyama vya upinzani vifutwe kibaki chama kimoja tu CCM.
Huwa sielewi akili za watu wanaowaza kuwa kama Tanzania vyama vingine inawezekana kuvifutia usajili ila CCM inatakiwa kubakia.
Hivi mnaowaza kuwa vyama vingine na hasa CHADEMA, vinaweza...
KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa.
2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi.
Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
Wasalaam.
Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja.
Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa...
TAKE IT SERIOUSLY
Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake!
Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
Dini ya uislamu katika usasa wake iliingia bara hindi punde tu baada ya utume wa Muhammad saw.Hiyo ilikuwa ni karne ya 7.Baada ya hapo wakaingia waislamu kwa makundi kutokana na sababu mbali mbali.
Waislamu walivutiwa mno na tamaduni za watu wa eneo hilo kuanzia dini zao na aina ya...
Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo.
Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
Wanabodi
Tumepiga kelele sana humu kuhusu adhabu ya kifo kwa kunyongwa mpaka kufa kuwa barbaric!.
Hatimaye leo Tanzania tumeamriwa kuifuta adhabu hiyo ya kifo kwa mtu kunyongwa mpaka kufa!. Ni adhabu ya ukatili mno, iliyoletwa na wakoloni ili kuwa ogofya wananchi!. Ni aibu kwa Tanzania...
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID.
Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa.
Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote.
Hili ni shirika linawasidia watu...
Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa...
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali lilipindua serikali ya kifalme ya shaa
✅Komeni muanzilishi wa itikadi kali alikua akipitisha mahubiri yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.