Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 4,953
- 4,326
Mikataba ya hadhi ya IGA (Intergovernmental Agreement) au BIT (Bilateral International Treaties) au MIT (Multilateral international Treaties) ni lazima ziendane na sheria za nchi husika vinginevyo ni null and void de novo.
Hivyo kwa kuwa mkataba kati ya Dubai Emirate na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulikuwa unapingana na sheria yetu ya Natural Wealth And Resources Permanent Sovereignty Act No. 15 of 2017, ili kuwa valid ulihitaji Tanzania kufanya mabadiliko ya sheria yake hiyo kuondoa bandari zetu (maritine spaces) kwenye orodha ya Natural Wealth and Natural Resources za nchi yetu.
Ndiyo maana serikali ilikuwa imepeleka musuada bungeni wa kufanyia marekebisho sheria hiyo inayozuia mkataba wa DP-WORLD kutekelezeka. Bahati nzuri baada ya kelele nyingi za Watanzania serikali iliondoa musuada huo na hivyo kuufanya mkataba huo wa IGA kuwa batili.
Akina Dr Slaa na wenzake wanajifanya hawaelewi jambo hili kwamba hiyo IGA haipo, ilishatupwa technically kisheria kwenye dustbin. Kilichopo ni hizi HGA, Concession Contracts and Lease Agreements. Kwa maelezo ya serikali mikataba hii imezingatia sana sheria zetu za Natural Wealth and Resources, sheria ya manunuzi, Public Private Parternaship na kadhalika. Serikali itakuwa na undiluted shares za asilima 35% kwenye kampuni hiyo na kadhalika. Kipi sasa akina Dr Slaa wanaendelea kukipigia kelele na kutaka maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima?

FAO.org :
www.fao.org