Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
MUHIMU: Mtuhumiwa hana hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty
Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache iliyopita kulikuwa na tukio la mwanamke kukodi majambazi yamuue mme wake huko Arumeru.
hivi tena kuna kijana Henry Tumaini Lekule (34) kauliwa huko maeneo ya Njiro kikatili sana kwa katobolewa macho, kupigwa mapanga ya kichwani na inaelezwa alilawitiwa kabla ya kuuliwa, mwili wakautupa kwenye kichaka karibu na kwake.
Hadi sasa kumekuwa na asilimia zaidi ya 90 ya watu wengi mitandoni wakitoa maoni ya kuhisi mke ndie mtuhumiwa wa kwanza kwa kudai mwanamke huyo anachanganya changanya maelezo.