mafunzoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Wanawake toeni ushirikiano mzuri kwa Madaktari wanafunzi wanapokuwa mafunzoni

    Nashangaaga sana utakuta mwanamke anashindwa kutoa ushirikiano mzuri kama daktari atakuwa yupo karibu na wanafunzi wanaosomea udaktari, mfano labda mwanamke ana shida sehemu zake za siri utakuta anamwambia daktari awafukuze wanafunzi ndipo aweze kumueleza tatizo. Kwa daktari asiye muelewa...
  2. benzemah

    Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurudi mafunzoni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya askari 818 wa Jeshi la Uhamiaji, Boma Kichakamiba mkoani Tanga amewataka askari wa uhamiaji ambao wana vitambi warudi chuoni kuviondoa ili kuwa wakakamavu na wepesi zaidi katika...
  3. Erythrocyte

    Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

    Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili...
  4. Roving Journalist

    Askari Polisi wanafunzi 156 wafukuzwa mafunzoni

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema takribani askari Polisi wanafunzi 156 wamefukuzwa mafunzo ya kijeshi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo za utovu wa nidhamu na kufanya mambo ambayo hayakubaliki ndani ya shule ya Polisi IGP Sirro amesema hayo wakati alipofanya ziara...
  5. Dr. Wansegamila

    Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
Back
Top Bottom