WAZIRI MASAUNI ATUHUMIWA KUKWAMISHA MASLAHI YA ASKARI WIZARA YA MAMBO YA NDANI KWA MASLAHI YAKE.

Kyenyabasa

JF-Expert Member
Mar 8, 2023
249
711
Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo mbalimbali ya Nchi ikiwemo Zanzibar.

Askari hao wanadai kwamba posho hiyo ya MAJI NA UMEME wanatakiwa waipate moja kwa moja kupitia Misha ha ra yao kila mwezi lakini haifanyiki hivo kwq maslahi ya wachache wizarani,,askari wanadai siasa imevamia majeshini kila wakidai haki hiyo wanaletewa mambo ya siasa yaani uongo mwingi vitendo hakuna,,,,askari hao wanadai wakitaka kuomba kikao cha pamoja na Mh.Rais wanazungushwa na viongozi wao ili kuhakikisha Rais hasikilizi shida zao.
 
Daaaa acha nikae kimya
 
Una uhakiki na hayo usemayo?,ww kunywa mtori nyama utazikuta chini.Kwa hiyo unakuja kulalamika hapa JF ili tukusaidiaje,fuata taratibu za kazi yako kutatua shida zako
 
Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo mbalimbali ya Nchi ikiwemo Zanzibar.

Askari hao wanadai kwamba posho hiyo ya MAJI NA UMEME wanatakiwa waipate moja kwa moja kupitia Misha ha ra yao kila mwezi lakini haifanyiki hivo kwq maslahi ya wachache wizarani,,askari wanadai siasa imevamia majeshini kila wakidai haki hiyo wanaletewa mambo ya siasa yaani uongo mwingi vitendo hakuna,,,,askari hao wanadai wakitaka kuomba kikao cha pamoja na Mh.Rais wanazungushwa na viongozi wao ili kuhakikisha Rais hasikilizi shida zao.

Daaah!! Yaani wazeee hamuachi huyu Masauni nae akafurahia mwaka mpya!!!? Yaani mwaka bado mbichi kabisa wazeee mmewasha moto!!!
 
Kuhusu police fresh tuu hata wasilipwe mishahara maana ni wapumbavu flani ambao hua wanajiona wameyapatia maisha.
 
Zamani ilikuwa tunaaminishwa kuwa Wazanzibari ni waungwana na wapenda haki mno ila awamu hii imekuja kudhihirisha kuwa ni watu wa aina gani hasa,

Ujanja ujanja mwingi, viswahili laini lakini vilivyojaa ulaghai, udalali dalali kila sehemu. Yani kwa kifupi hawana uungwana wowote.

Ila kwa Polisi hata wasipolipwa mishahara sio wa kuwaonea huruma.
 
Kwanini afadhali!?
Ili na wao pia waonje machungu ya kudhulumiwa haki zao kama ambavyo hao Polisi wamekuwa wakiwafanyia watu raia wa kawaida kwa kuwadhulumu haki zao za kuishi, haki za kuwa huru uraiani.
Wamekuwa wakiwabambikia watu kesi mbayambaya ili kulazimisha kupewa rushwa.
Naomba Mungu Waziri Masauni aongeze kasi zaidi katika hili.
 
Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo mbalimbali ya Nchi ikiwemo Zanzibar.

Askari hao wanadai kwamba posho hiyo ya MAJI NA UMEME wanatakiwa waipate moja kwa moja kupitia Misha ha ra yao kila mwezi lakini haifanyiki hivo kwq maslahi ya wachache wizarani,,askari wanadai siasa imevamia majeshini kila wakidai haki hiyo wanaletewa mambo ya siasa yaani uongo mwingi vitendo hakuna,,,,askari hao wanadai wakitaka kuomba kikao cha pamoja na Mh.Rais wanazungushwa na viongozi wao ili kuhakikisha Rais hasikilizi shida zao.
Kwann alaumiwe Masauni Leo na haijawahi kuwa ivo kabla? Enzi la Kangi Lugola ilikuwa tofauti na sasa katika hilo?
 
Ili na wao pia waonje machungu ya kudhulumiwa haki zao kama ambavyo hao Polisi wamekuwa wakiwafanyia watu raia wa kawaida kwa kuwadhulumu haki zao za kuishi, haki za kuwa huru uraiani.
Wamekuwa wakiwabambikia watu kesi mbayambaya ili kulazimisha kupewa rushwa.
Naomba Mungu Waziri Masauni aongeze kasi zaidi katika hili.

magereza na fire wao wanachukua rushwa ya nani??chuki ni chupi ya mchawi.
 
kumbe mapolisi hamna ubabe mbele ya mwanasiasa.!!

Mdogo wangu anasema kuwa polisi ni stress tu hakuna mazuri huko.
 
Back
Top Bottom