Director wa RayVanny atuhumiwa ‘kumuiba’ mtoto wake na kutokomea naye, mzazi mwenzake abaki analia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
00ebfeb1-3766-4808-b3a0-82f5d418bf1a.jpg
Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta.

Akisimulia stori hiyo, mama wa mtoto ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema:

“Mzava ni mzazi mwenzangu lakini hatuishi pamoja, ugomvi wetu mimi na yeye ni katika matunzo yam toto, kila nikimwambia kuhusu matunzo amekuwa hajali hilo wakati mimi nina hali ngumu.

“Jumapili iliyopita (Agosti 13, 2023) nilienda ofisini kwake nikiwa na mtoto ambaye ana umri wa mwaka mmoja, akaomba akae na mtoto hadi jioni nikamkubalia.

“Ilipofika jioni wakati namtafuta akawa hapokeo simu na baadaye aka ni block kabisa, nikaanza kumtafuta bila mafanikio, sikumpata yeye wala Mtoto.

“Mtoto wangu bado ana Nyonya, leo ni siku yabtatu sijui alipo na sijui ana hali gani.

“Nimeenda Ustawi wa Jamii, nimezungushwa lakini sijapata msaada wowote, nikaenda Polisi Kituo cha Kati, wakamtafuta kwenye simu wakampata akadai eti mimi nimeende kumtelekeza mtoto kwake, akaaambiwa afike kituoni, hakufika.
ccf54a73-d481-4a46-95b1-6ecdcf4357a7.jpg

78699693-d849-4465-ab52-b168c750805b.jpg
“Nimefanikiwa kuongeza na Waziri Gwajima nikamuelezea suala langu, akanipatia maofisa wake wanisikilize, wameahidi kunisaidia, nipo naendelela kusubiri msaada wao lakimi mpaka sasa napo naona kimya.

“Nimeambiwa Mzava amesafiri kwenda Congo, ameenda na Rayvanny, sijui nini kinampa jeuri mpaka sasa anadharau hata Vyombo vya Usalama kama Polisi ambao walimtafuta lakini akawapotezea (anaanza kulia).

“Naomba Serikali na mamlaka zinazohusika zinisaidie kumoata Mtoto wangu, sijui huko alipo ana hali gani.

“Nimejaribu kutafuta watu wake wa karibu hata ndugu zake hakuna anayejua chochote kuhusu alipo mtoto.”

==============

UPDATES...

MAJIBU YA MZAVA

Alipotafutwa Eric Mzava kuhusu taarifa hiyo ya mtoto akajibu: "Nani amekwambia kuwa mimi nimemchukua mtoto? Mimi sijui chochote."
 
Mwanao ni mwanao tu huyo bishoo atalia baadae.
Hiyo kesi hapo ilipo aandae hela za kutosha tu.
Akirudi wanaye,wakimshika popote wanaye
Utetezi wake hautakua na maana tena km huyo mama kafika huko.
Ngoja tunywe supu.
Nyama ziko chini
Jamani tule kwanza mengine baadae.
 
Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta.

Akisimulia stori hiyo, Grace Natumwa ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema”

“Mzava ni mzazi mwenzangu lakini hatuishi pamoja, ugomvi wetu mimi na yeye ni katika matunzo yam toto, kila nikimwambia kuhusu matunzo amekuwa hajali hilo wakati mimi nina hali ngumu.

“Jumapili iliyopita (Agosti 13, 2023) nilienda ofisini kwake nikiwa na mtoto ambaye ana umri wa mwaka mmoja, akaomba akae na mtoto hadi jioni nikamkubalia.

“Ilipofika jioni wakati namtafuta akawa hapokeo simu na baadaye aka ni block kabisa, nikaanza kumtafuta bila mafanikio, sikumpata yeye wala Mtoto.

“Mtoto wangu bado ana Nyonya, leo ni siku yabtatu sijui alipo na sijui ana hali gani.

“Nimeenda Ustawi wa Jamii, nimezungushwa lakini sijapata msaada wowote, nikaenda Polisi Kituo cha Kati, wakamtafuta kwenye simu wakampata akadai eti mimi nimeende kumtelekeza mtoto kwake, akaaambiwa afike kituoni, hakufika.
“Nimefanikiwa kuongeza na Waziri Gwajima nikamuelezea suala langu, akanipatia maofisa wake wanisikilize, wameahidi kunisaidia, nipo naendelela kusubiri msaada wao lakimi mpaka sasa napo naona kimya.

“Nimeambiwa Mzava amesafiri kwenda Congo, ameenda na Rayvanny, sijui nini kinampa jeuri mpaka sasa anadharau hata Vyombo vya Usalama kama Polisi ambao walimtafuta lakini akawapotezea (anaanza kulia).

“Naomba Serikali na mamlaka zinazohusika zinisaidie kumoata Mtoto wangu, sijui huko alipo ana hali gani.

“Nmejaribu kutafuta watu wake wa karibu hata ndugu zake hakuna anayejua chochote kuhusu alipo mtoto.”

Anaibaje mtoto wake? Kamchukua mtoto wake akamlee.
 
Kulea mtoto Ni wajibu wake ,mtoto wa mwaka mmoja mwanaume unampeleka wapi hiyo Ni dalili ya umaskini akubali kutoa matunzo
 
Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta.

Akisimulia stori hiyo, Grace Natumwa ambaye ndiye mzazi mwenza wa Mzava anasema”

“Mzava ni mzazi mwenzangu lakini hatuishi pamoja, ugomvi wetu mimi na yeye ni katika matunzo yam toto, kila nikimwambia kuhusu matunzo amekuwa hajali hilo wakati mimi nina hali ngumu.

“Jumapili iliyopita (Agosti 13, 2023) nilienda ofisini kwake nikiwa na mtoto ambaye ana umri wa mwaka mmoja, akaomba akae na mtoto hadi jioni nikamkubalia.

“Ilipofika jioni wakati namtafuta akawa hapokeo simu na baadaye aka ni block kabisa, nikaanza kumtafuta bila mafanikio, sikumpata yeye wala Mtoto.

“Mtoto wangu bado ana Nyonya, leo ni siku yabtatu sijui alipo na sijui ana hali gani.

“Nimeenda Ustawi wa Jamii, nimezungushwa lakini sijapata msaada wowote, nikaenda Polisi Kituo cha Kati, wakamtafuta kwenye simu wakampata akadai eti mimi nimeende kumtelekeza mtoto kwake, akaaambiwa afike kituoni, hakufika.
“Nimefanikiwa kuongeza na Waziri Gwajima nikamuelezea suala langu, akanipatia maofisa wake wanisikilize, wameahidi kunisaidia, nipo naendelela kusubiri msaada wao lakimi mpaka sasa napo naona kimya.

“Nimeambiwa Mzava amesafiri kwenda Congo, ameenda na Rayvanny, sijui nini kinampa jeuri mpaka sasa anadharau hata Vyombo vya Usalama kama Polisi ambao walimtafuta lakini akawapotezea (anaanza kulia).

“Naomba Serikali na mamlaka zinazohusika zinisaidie kumoata Mtoto wangu, sijui huko alipo ana hali gani.

“Nmejaribu kutafuta watu wake wa karibu hata ndugu zake hakuna anayejua chochote kuhusu alipo mtoto.”
MAma mjinga
Baba mpumbavu

Siku zote nawaeleza kuwa suala.la matunzo ya mtoto kwa wenza linapaswa kufuata taratibu za sheria zilizowekwa kwani hii tabia ya wazazi wa mtoto kupambana hadharani au hata kudhalilishana haisaidii bali kama mtu hatoi matunzo peleka Dawati la Jinsia pale polisi watayaweka sawa baina yenu.

Mama katelekeza mtoto sasa analia lia
 
Maana wewe umeleta ushahidi kwamba hafanyi hivyo?
Hakuna mwanamke anayepiga kelele kama unatoa mahitaji ya mtoto duniani bila tatizo, otherwise kuwe na sababu nje ya huduma za mtoto. kwasababu anajua makelele yake utasitisha huduma kwa muda, ni vile wanawake wanachukulia poa poa tu akiangalia hali yako kiuchumi haoni kama una msuli wa kutoa 300k au 500k kila mwezi wanaamua kumuachia Mungu.
 
Huyu demu ni muongo. Alimtelekeza mtoto kwa jamaa ili iwe shinikizo la kupata pesa.

Kina dada sijui lini watajifunza kuwa nyuchi zao sio kiingiza mapato na watoto sio kitega uchumi.
Ukishazaa nae ni wajibu kutunza mtoto kama mwanaume haijalishi na kama anakususia taratibu za kisheria zipo za kummiliki mazima, ukiona mwanamke anakususia mtoto ujue huwajibiki kwa wakati, wanawake wa kiswahili hawa kila mwezi ukiwa hata unatoa 200k kama huna uwezo wa kutoa 400k, 500k au 700k huku ukimwambia mambo yako sio mazuri akuvumilie mbona waelewa sasa wewe mia hutoi akiomba pesa unakaza wakati unajua mzazi mwenzio hana njia rasmi ya kupata kipato unakaza ooh! kama vipi nipe mtoto nilee kibandidu kabisa unaona ukiwa unatoa pesa akila mama na mtoto wako wakati huli mzigo roho inauma.
Tuache miyeyusho pampas leo hii sio chini ya 70k lile bando unakuta hata miezi miwili haitoboi, bima ya afya 190k ile ya chini, bado kula, gesi, nguo nk.

Nb: Narudia hakuna mwanamke msumbufu kwa mzazi mwenzake kama baba husika anatoa mahitaji ya mtoto wake bila tatizo hata kama mliachana kwa ugomvi mkubwa, ukiona anasumbua wakati mtoto unahudumia basi anataka kurudisha penzi hivyo wivu utakuwa unamsumbua.
 
Huyu demu ni muongo. Alimtelekeza mtoto kwa jamaa ili iwe shinikizo la kupata pesa.

Kina dada sijui lini watajifunza kuwa nyuchi zao sio kiingiza mapato na watoto sio kitega uchumi.
Wapuz sana hawa wadada wacheza amqpiano na singeli bongo movie

Ova
 
Pale unapo beep halafu ukapigiwa. Wanawake sometimes tunayatafuta na kuyapata wenyewe
 
Back
Top Bottom