shimo

Shimo-Shimmei Station (下神明駅, Shimo-shinmei-eki) is a train station in eastern Tokyo, Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. LA7

    Safari yangu ya Mji Mwema ikageuka kuwa ya mateso

    Habari zenu humu ngoja Leo niwape kastory kafupi Nakumbuka nikiwa naishi maisha ya homeless siku hiyo nikiwa pale kigamboni kwenye boti za uvuvi, upande wa chuo cha mwalimu Nyerere memorial Muda wa saa 9 jioni nikachukua baiskel yangu na kuamua kwenda kutembea Mji mwema Nikafika na kuanza...
  2. S

    BBT yaanza kukwama. Tulisema hapa kuwa BBT ni shimo la kuzikia fedha za Kodi zetu

    Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao. Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho? Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya...
  3. Kiboko ya Jiwe

    Kuhonga ni sawa na kutupa fedha ndani ya shimo refu lenye giza, utapoteza zaidi na zaidi

    Kuna shimo moja liko katika kijiji kimoja mkoani Lindi ambalo sio man made ila ni shimo ambalo hakuna mtu amewahi kuingia. Ni giza tupu, inasemekana ndilo Wajurumani walilitumia kuwatumbukiza watu waliokuwa wasumbufu kwenye utawala wao. Ni shimo refu sana kiasi kwamba hata anayekutumbukiza...
  4. Lycaon pictus

    Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  5. Hismastersvoice

    Sensa ilipoanza niliulizwa nyumba ina choo cha kuvuta au cha shimo, leo wamekuja kuona kama nyumba ipo na ni ya aina gani?!

    Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
  6. S

    Naomba kujuzwa gharama za shimo la Choo

    Poleni na majukumu wa JF! Naombeni msaada wa kujua gharama za kujenga Shimo la Choo.
  7. S

    Kwa nini naona Watanzania Bara tumenufaika sana na Muungano zaidi sana wa Wazanzibar - wametuokoa mara mbili kutoka shimo lenye giza nene!

    Mimi ni Mtanzania bara. Nimetafakari sana juu ya kile watu wa Tanzania bara wanaita kero za Muunganom au kupendelewa kwa Wazanzibar katika muungano. Utaona kwamba ni mambo madogodogo sana, vitu kama fedha za misaada sijui, Wazanzibar kuwekeza bara na kununua ardhi tofauti na watu wa bara...
  8. John Haramba

    Atuhumiwa kuua mke na kumzika, juu ya shimo apanda mpunga

    Mkazi wa Tandahimba mkoani Mtwara, Shaibu Kauselela anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumuua mkewe na kitu Kizito kinachodhaniwa kuwa na ncha kali na baadaye kumzika kwenye shamba na kupanda mpunga ili kupoteza ushahidi. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo, Kaimu Kamanda wa...
  9. JanguKamaJangu

    Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

    Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha. Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa akimgharamia kila mahitaji yake yote, alimnunulia gari, viwanja ila mwishowe Nadine...
  10. wa stendi

    Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

    Poleni na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na manung'uniko yanayoendelea kuhusu makenikia. Husika na kichwa cha habari hapo juu tangu napata akili hadi sasa kumekuwa na maneno kuhusu mlima Kilimanjaro kuwa pale juu kileleni kuna shimo refu sana na inavyosemekana ndani ya shimo kuna maji na...
Back
Top Bottom