asimamishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe asimamishwa kazi kupisha Uchunguzi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe (DED) mkoani Kigoma, Essau Ngoloka kupisha uchunguzi. Mkurugenzi huyo amesimamishwa ikiwa ni siku chache zimepita tangu, Makamu wa Rais, Dk...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Rushwa na Uhujumu Uchumi asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa. Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi asimamishwa kazi PSG kwa wiki mbili

    Paris Saint-Germain imechukua uamuzi huo kutokana na kusafiri kwenda Saudi Arabia kufanya matangazo ya biashara bila ridhaa ya klabu yake. Wachezaji wa PSG walitakiwa kupata mapumziko ikiwa wangeifunga Lorient katika Ligue 1 lakini walipoteza kwa magoli 3-1, hivyo Kocha Christophe Galtier...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Messi asimamishwa na PSG kwa wiki mbili bila Mshahara

    Klabu ya Paris Saint-Germain imeripotiwa kumsimamisha mshambuliaji Lionel Messi kwa wiki mbili bila mshahara baada ya Nyota huyo raia ya Argentina kukwepa mazoezi ya klabu hiyo na kukwea pipa kuelekea Saudi Arabia bila idhini ya klabu. Upande wa Messi bado haujatoa ufafanuzi juu ya sakata hilo...
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Refa asimamishwa baada ya kutumia VAR feki

    Refa asimamishwa kazi kwa kutumia simu ya shabaki kukataa goli Mwamuzi wa Misri Mohamed Farouk amesimamishwa kazi kwa kutumia simu ya mtazamaji kukataa bao katika mechi ya ligi. Al-Nasr walidhani walikuwa wamefunga bao la kusawazisha dakika za lala salama wakiwa ugenini kwa Suez katika mechi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Picha: Mchungaji Eliona Kimaro Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo. Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Aliyeibua uozo wa vifaa tiba Tabora asimamishwa kazi

    Bwana James Getogo wa Ishihimulwa Tabora amesimaishwa kazi pamoja na dada Rose Shirima kupisha uchunguzi. Wawili hao walionekana kwenye video wakijibishana juu ya kutumia vifaa tiba vya malaria vilivyopita muda. ===== Watumishi wawili wa Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa Rose Shirima na James...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Morrison asimamishwa Yanga kwa utovu wa nidhamu

    Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison anadaiwa kusimamishwa na Kocha wa klabu hiyo, Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Taarifa zinadai kuwa mchezaji huyo alipewa adhabu hiyo na wachezaji wengine wawili wa klabu hiyo, Djuma Shaban na Farid Mussa ambao kwa ujumla wamekosekana...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

    Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho. Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyesimamia pambano la Mandonga asimamishwa

    Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya Uamuzi. Wali, Rais wa TPBRC, Chaurembo Palasa aliufuta mchezo huo wa Septemba 24, 2022 kutokana na...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makamu Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma kujihusisha mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4

    Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Singida, Manispaa ya Singida, Thomas Ngiracha, amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne (jina tunalihifadhi) wa shule hiyo. Mkuu wa Shule hiyo, Joseph Shani na Mkurugenzi wa Shule, Matliga...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gari la Serikali lanaswa likisafirisha Bangi, dereva asimamishwa kazi

    Gari la Halmashauri ya Arusha linashikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa likisafirisha shehena ya bangi kinyume cha sheria za Nchi. Dereva wa gari hilo, Athuman Magio, anashikiliwa na polisi mkoani humo na tayari amesimamishwa kazi kwa kufanya biashara haramu. Chanzo: Ngilisho...
  14. msovero

    JamiiForums Tanzania Rais wa Chama cha Walimu (CWT) Bi. Leah Ulaya, asimamishwa kwa tuhuma nzito

    Dodoma. Baraza Kuu la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) limemsimamisha rais wa chama hicho, Leah Ulaya kwa madai kuwa ameshindwa kuwaunganisha walimu na kueleza changamoto zinazowakabili. Kwa uamuzi huo, Leah atasubiri hatima yake katika mkutano mkuu wa CWT utakaofanyika mwaka 2022 ili kujua...
  15. data

    JamiiForums Tanzania DED wa Gairo aliyepiga bati asimamishwa kazi.

    Safi.. Maana ilikuwa inatia doa kwa Serikali.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania DED wa Gairo aliyeiba mabati ya Shule asimamishwa kazi.

  17. U

    JamiiForums Tanzania Metacha Mnata asimamishwa kazi na klabu ya Yanga

    UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemsimamisha kipa wake, Metacha Mnata kutokana na utovu wa nidhamu alioufanya kwa mashabiki baada ya mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa jana usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Klabu hiyo imesema kuwa, uongozi...
Back
Top Bottom