PSG College of Technology is an autonomous, government aided, private engineering college in Coimbatore, India. It is affiliated with Anna University. It is affiliated to PSG and Sons Charities Trust. Among engineering colleges in India, PSG College of Technology was ranked 6th in private engineering colleges by India Today in 2018.
👉 Tarehe 30 Mei 2026 itabaki kuwa siku ya kukumbukwa kwa mashabiki wa Paris Saint-Germain baada ya kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League kwa mara nyingine mbele ya Arsenal katika fainali iliyokuwa na presha kubwa. PSG walionyesha moyo wa kishujaa, utulivu na uzoefu wa mabingwa hadi kufikia...
Mfalme wa safu ya kiungo ya PSG. Ndiye pekee kati ya viungo watatu wa kwanza wa PSG aliyedumu dakika zote 120.
Na katika muda wa nyongeza, alikuwa tishio kubwa zaidi la PSG katika mashambulizi. Ana ustadi mkubwa wa kugusa na kumiliki mpira, nguvu katika mapambano ya ana kwa ana, uwezo wa...
Arsenal akishinda nipewe ban ya siku 3, nimechoka kelele zao😵💫'
Aloooo hawa watu wana keleleee sanaaaaaaà, unawanaonea huruma wana miaka ya mtu mzima bila kombe ila wakishinda hatunywi maji!
PSG nao wana kiu ya kushinda na usongo wa kupata ushindi kwa mara ya pili, mechi otakuwa motooo, ila...
Hivi kweli Arsenal F.C. hawaogopi? 😅
Hii si ile PSG ya Lionel Messi, Neymar na vibes za Paris nights, hii ya sasa ni tofauti kabisa. Hakuna show nyingi, hakuna kutembea uwanjani. Hawa wanakaba kama wamekosewa hela 😭
Arsenal wana mpira mzuri, lakini PSG ya sasa ina njaa ya ubingwa kuliko likes...
Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine
Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
heirry Henry speaks on PSG vs Bayern Munich score line 5:4
"Listen, we need to have a serious conversation about what we are watching. For the fans, of course, it’s exciting, nine goals, end-to-end, moments everywhere, Everyone is on social media screaming, 'Oh, what a game! But is it? Really...
Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu zote mbili zinaingia uwanjani zikiwa na deni la mabao mawili, hali inayozilazimu kushinda kwa...
Hatua ya robo fainali ya Uefa Champions League kuanza kuchezwa tarehe 7 na 8 mwezi wa 4 kwa hatua ya kwanza na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa 4.
Hivi ndivyo mechi zitakavyokuwa, je nani atatoboa kuingia nusu fainali
Basi, miaka fulani nilikuwa nimeshawahi kufundishwa kubeti, lakini sikuwa nikibeti, Ila ile mechi ya PSG vs Chelsea fainali… ah! niliiona nitupiemo laki 1 kwa PSG nishinde 160K.
Nilijiona usiku ule nikilala na elf 60 nyepesi kuzidi kuchuma mapera, Nilijua nashinda tu!
Nikaenda nikafungua...
Niseme tuu kuwa matokeo ya mchezo wa jana yalinihuzunisha sana. Miungu ya mpira ilishindwa kumzawadia PSG kombe pamoja na kwamba mchoni pa wengi ndio ilikuwa timu bora. Mpira ni magoli, Chelsea walifunga magoli na hivyo walistahili kushindi mchezo wa jana.
Lakini inakuwaje timu ambayo kwa...
Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey.
Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
Wakuu,
Wekeni utabiri wenu kuelekea mechi hii PSG wanasema hakuna mtu kulibeba inawezeka kirahisi hivyo?
Mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa Vilabu kati ya Chelsea ya England na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa inatarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili, Julai 13, 2025, kwenye Uwanja wa...
Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz...
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA (#FIFACWC) mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani katika mchezo wa robo fainali uliopigwa mjini Atlanta, Marekani.
Mchezo...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, zilikuwa ni wiki zikawa siku hatimae ule muda wa kusubiri umeisha na leo ndio ile siku ya kuhitimisha michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa msimu wa 2024/25.
Mtanange wa leo utakuwa baina ya mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG): na...
Katika mechi ambazo zilikua za ajabu ni real Madrid na arsenyani yaani walikutana pipa na mfuniko nikajua labda Madrid ataonyesha mpira mzuri kumbe Naye bangusilo hakuna kitu kabisa aisee rasmi nawaunga mkono psg sababu wanaiweza hii kazi Kule dembele Kule barcola huku achirafu hakimi huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.