Lionel Messi asimamishwa kazi PSG kwa wiki mbili

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Paris Saint-Germain imechukua uamuzi huo kutokana na kusafiri kwenda Saudi Arabia kufanya matangazo ya biashara bila ridhaa ya klabu yake.

Wachezaji wa PSG walitakiwa kupata mapumziko ikiwa wangeifunga Lorient katika Ligue 1 lakini walipoteza kwa magoli 3-1, hivyo Kocha Christophe Galtier akawataka wachezaji kufika mazoezini siku inayofuata.

Kutokana na adhabu hiyo, Messi ambaye anaelekea mwishoni mwa mkataba wake akiwa bado hajaweka wazi kama ataendelea kubaki klabuni hapo, atazikosa mechi dhidi ya Troyes na Ajaccio.

=======+++++++++++++++++++

Lionel Messi suspended for TWO WEEKS by Paris Saint-Germain after making unsanctioned trip to Saudi Arabia... with the Argentine's relationship with the French club becoming increasingly fractured

Lionel Messi has been suspended by Paris Saint-Germain for two weeks after making an unauthorised trip to Saudi Arabia on Monday.

The World Cup winner had pre-arranged the visit for one of his commercial commitments as ambassador for tourism there.

PSG players were supposed to be off on Monday, however, following their 3-1 defeat to Lorient on Sunday, manager Christophe Galtier called the squad in for training instead.

Messi, though, was already in transit to Saudi Arabia and unable to turn back.

When PSG players were photographed at their Camp des Loges training ground on Monday, Messi was a notable absentee.

The trip was not sanctioned by Galtier, nor by sporting advisor Luís Campos, so the club have opened disciplinary proceedings.

As a result, the Argentina captain will miss the next two PSG games, at Troyes this Sunday, and against Ajaccio on Saturday May 13.

Messi has been offered a new contract by PSG on the same financial terms.

But he has still to be convinced by their sporting project so has yet to commit.

Barcelona want him to return, while there is interest from the Middle East and MLS clubs. However, he has still to open concrete negotiations with any other club.

Source: DailyMail
 
Messi alishamaliza kucheza soka baada ya kuchukua World cup.
Ttz mpira umekuwa biashara sana mtu kama messi kwa umri wake ameshashinda karibia kila kitu unamchukua na kumlipa mapesa mengi kwa kipi hasa wakati uhakika wa kukupatia hata goli 20 kwa msimu hana
Cheki sasa kaamua kwenda kupiga ndondo saudia 😂
 
Ttz mpira umekuwa biashara sana mtu kama messi kwa umri wake ameshashinda karibia kila kitu unamchukua na kumlipa mapesa mengi kwa kipi hasa wakati uhakika wa kukupatia hata goli 20 kwa msimu hana
Cheki sasa kaamua kwenda kupiga ndondo saudia 😂
PSG inafaidika kwa uwepo wa Messi kibiashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom