somalia

 1. Geza Ulole

  Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

  Ethiopian Troops In Somalia Shoot At Another Kenyan Plane Another Kenyan plane was shot at today allegedly by Ethiopian troops in Qansahdere, Bay Region in Somalia, sources have told Kahawa Tungu. The plane was carrying humanitarian aid when it caught fire mid-air after the shooting. Photos...
 2. beth

  Rais Kenyatta atoa onyo kwa Somalia, ataka nchi hiyo kuacha kuichokoza Kenya

  Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
 3. Analogia Malenga

  Watu wawili kati ya watatu waliombaka msichana Somalia wauawa

  Watu wawili waliopatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12 mwezi Februari mwaka jana wameuawa katika mji wa mashariki mwa Somalia wa Bosaso. Mtu wa tatu bado anachunguzwa ingawa mahakama ilimuhukumu kifo pia. Abdifatah Abdirahman Warsame na Abdishakur Mohamed walipigwa risasi...
 4. miss zomboko

  Nzige watangazwa kuwa janga la kitaifa Somalia

  Nchi ya Somalia imetangaza uvamizi wa nzige katika maeneo mbalimbai ya nchi hiyo kama janga la kitaifa huku Wizara ya Kilimo, ikisema kuwa hatua hii imefikiwa baada ya wadudu hao kuendelea kuharibu mimea na sasa hali ii inatishia kuwepo kwa uhaha wa chakula nchini humo. Kuna wasiwasi kuwa...
 5. Kingsmann

  FAO: Tusipowadhibiti nzige wanaoikabili Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa

  Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limeonya kwamba nzige walioivamia Ethiopia, Kenya na Somalia sasa ni wimbi kubwa kuwahi kushuhudiwa hivi karibuni na lisipodhibitiwa kuna uwezekano wa kusambaa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki. Wimbi kubwa la nzige walionekana...
 6. Kafrican

  Kismayo Somalia, Asante KDF!

  Kuna mwengi ambayo miji miengine ya Kusini na kati ya Somalia yanaweza yakajifunza kutokana na maendele ya mji mkuu wa Kismayu ambao ndo mji wa Mkubwa Somalia baada ya Mogadishu. Wakati miji miengine ya Somalia ikiwemo Mogadishu inakumbwa na mashambulizi makubwa mara kwa mara, Kwa miaka saba...
 7. miss zomboko

  Mwanaharakati wa haki za binadamu Almaas Elman auawa Somalia

  Mwanaharakati maarufu wa mashirika ya kiraia Almaas Elman ameuawa kwa kupigwa risasi Jumatano, Novemba 20, wakati alikuwa akijiandaa kusafri kwa ndege kwenda mji mkuu wa Kenya, Nairobi ambako anaishi. Almaas Elman ameuawa wakati alikuwa akisafiri kwa gari katika eneo salama karibu...
 8. miss zomboko

  Kenya na Somalia zabadilishana watuhumiwa ugaidi

  Polisi wa Somalia wamewakabidhi watuhumiwa wawili wa ugaidi wa Kundi la Al-Shabaab kwa polisi wa Kenya, ikiwa ni sehemu ya juhudi za pamoja za kuzuia mashambulizi ya kuvuka mipaka. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kaskazini mashariki nchini Kenya Paul Soi amesema, watu hao wawili wanaaminika...
 9. Dive

  Al Shabaab katika mafunzo na mahafali yao huko Somalia

  Al Shabaab maana yake ni vijana wa kiume likiwa ni zao la Al Qaeda sasa hapa utaona jinsi wanavyofunzwa kambini na wanavyotawala. Pia utamsikia msemaji wao. Kwa kweli jamaa wanafanyiwa brainwashing mbaya sana na radicalization ya hali ya juu. BEWARE GUYS.
Top Bottom