Nigeria: Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Rushwa na Uhujumu Uchumi asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1686816688746.png
Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa.

Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya unapoingia, taarifa za Serikali zinasema wakati huu hali ni tofauti kwa kuwa kiongozi wa Tume hiyo amekumbwa na kashfa nzito zinazoharibu taswira yake.

Gavana wa zamani wa jimbo la Zamfara alimshutumu Bawa kwa madai ya kumtaka ampe Rushwa ya Tsh. Bilioni 4.7. Kwa mujibu wa Taasisi ya masuala ya Rushwa ya #TransparencyInternational, Nigeria inashika nafasi ya 150 kati ya Nchi 180 zinazopambana na Rushwa kwa Vitendo.

===============

Nigeria's new President Bola Tinubu has suspended indefinitely the head of the country's anti-corruption agency, the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC).

Abdulrasheed Bawa was asked to step aside in order to allow a "proper investigation into his conduct while in office".

Although it's common for the head of the anti-corruption agency to be removed once a new president gets into office, a government statement said the suspension followed “weighty” allegations of abuse of office levelled against him.

There have been a number of corruption allegations against the 43-year-old Mr Bawa since he was appointed the EFCC chairman in 2021, which he has denied.

In an interview with BBC Hausa last month, a former governor of the northern Zamfara state accused Mr Bawa of allegedly demanding a $2m (£1.58m) bribe from him. He denied the allegation.

Nigeria is ranked 150th out of 180 countries in Transparency International's perception of corruption index.

BBC
 
Kijana mdogo naona amenagukia pua...Kumbe kibabu TINUBU Kinaweza kusukuma mambo.
 
Back
Top Bottom