viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania RC MARA KANALI MTAMBI ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA MHE. GHATI CHOMETE (MB) - VITI MAALUM MARA

    RC MARA KANALI MTAMBI ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA MHE. GHATI CHOMETE (MB) - VITI MAALUM MARA Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi ameonyesha kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete. Mhe. Kanali Evans Mtambi ameyasema hayo...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madaktari "Viti Maalum" kuja hivi Karibuni!

    Baada ya taaluma ya mawakili wa kujitegemea kupuuzwa, kudharauliwa, kudhalilishwa, kutishiwa kufutwa chama chao na "watu wasiojulikana" na baada ya kuona TLS ina nguvu kwa kutumia Section 4 of TLS ACT, mbinu kubwa ikaja ni kuunda chama cha mawakili wa Serikali wapambane na TLS. Wale mawakili...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo ili waweze kujikwamua kiuchimi. Mbunge huyo amedhamini wajasiriamali hao kupata mikopo ili wawezekupatiwa mikopo hiyo hisiyokuwa na riba kwa lengo la kukuza uchumi wao. Awali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Tanga, Husna Sekiboko: Serikali ishughulike na wanaojiteka

    Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ashiriki ziara ya kamati ya bunge TAFICO

    MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kareem, Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema

    Ramadhan Kareem Mhe. Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema wa Ramadhan.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalum mara auliza swali kuhusu uwekezaji wa viwanda

    MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu mazuri yaliyotolewa pamoja na Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kumpa nafasi ya kuuliza swali. Katika swali...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Munde Tambwe, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) afariki dunia

    Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa. Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
  10. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama hakiwezi kupata viti maalum viwili, ni uongo

    Jamiiforums, Kimahesabu Hakuna uwezekano wa chama chochote Katika bunge lenye viti maalum 115 kupata viti viwili. Namba huwa hazidanganyi. Kitu Kama hicho ni uongo. IPO Hivi, ili ushiriki kupata viti maalum Inabidi uwe na angalau asilimia 5 ya kura za wabunge. Ukiwatoa wale wa kura za...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yateua wajumbe 20 wa viti maalum wanawake

    Tume ya Uchaguziya Zanzibar, kufuatia kukamilika kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025; katika Mkutano wake wa Novemba 4, 2025, imefanya Uteuzi wa Wajumbe wa Viti maalum vya Wanawake katika Baraza la Wawakilishi. Uteuzi huo umefanyika chini ya masharti ya...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea viti maalum Iringa: Ulitumia rasilimali za nchi kujali utu na uhai

    Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Iringa amesema Rais Samia atakwenda kuwekwa kwenye historia kwa kutumia rasilimali za nchi kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya . Ameyaeleza hayo katika muendelezo wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025 ,ambapo amesema alama imewekwa kwa...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkeka: Uteuzi wa wanachama wa CCM watakaogombea nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Majimbo na Viti Maalum

    Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea ubunge majimboni. mbivu mbichi kujulikana soon. TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo achaguliwa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409. Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Morogoro: Walioshindwa kura za maoni ubunge viti maalum, wasema wamepokea matokeo kwa heshima na utulivu

    Watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Jane Mihanji na Hajra Mwikoki, wamesema wamepokea kwa heshima na utulivu matokeo ya kura za maoni zilizofanyika hivi karibuni. Kwa nyakati tofauti wamesema, licha ya kutoshika...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  19. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge

    Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Keisha atupwa nje ubunge viti maalum Jumuiya ya wazazi

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, wamewachagua Najma Murtaza Giga (kutoka Zanzibar) na Dkt. Catherine Joakim (kutoka Tanzania Bara) kuwa wawakilishi wa Jumuiya hiyo katika nafasi za Ubunge wa Viti Maalum. Katika uchaguzi huo, aliyekuwa Mbunge...
Back
Top Bottom