rais mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. towashi wa kushi

    JamiiForums Tanzania Rais Mwanamke shujaa na shupavu ndio huyu

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna siku tena tutapata Rais Mwanamke?

    Kwa yanayoendelea nchini Mnadhani akiondoka Samia Tanzania itakuja tena kupata Rais Mwanamke? Je, wanaume watakubali kumpatia tena nafasi mwanamke aweze kuongeza nchi? Na wanawake watakubali kuwa pembeni wakiona wanaume wanaongoza nchi wenyewe?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Kenya ashangazwa na mauaji ya halaiki kutelelezwa chini ya utawala wa rais Mwanamke. Adai Nyerere akifufuka atatoa machozi

    Adai mauji yalifanyika ili rais Samia arudi madarakani.
  4. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Jamani kwani Sheikh Yahaya alisema yule Rais mwanamke atahudumu kwa muda gani!?

    Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi" Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

    Sikiliza, kweli bado yuko hai? Anaesema mwanamke hapashwi kuwa Rais!
  6. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar: Ni aibu mwanamke kuteswa chini ya utawala wa Rais mwanamke

    Mwenyekiti wa @ACTwazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ndugu Othman Masoud Othman (OMO) amesema kuwa “Kama tunataka mageuzi katika nchi hii hatuwezi kukaa kitako tukafunga mikono tukasema kwamba mageuzi yatakuja, hawako huko watu kwenda Mahakamani tu kwenda kusikiliza...
  7. Tanzanized S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Imepata Rais Mwanamke Asiye Mstahimilivu, Asiye na Subra, Maono, wala Hekima na Busara za Kiutawala

    Wakati historia iliandika ukurasa mpya kwa taifa la Tanzania kumpata rais wa kwanza mwanamke, matumaini ya wananchi, hasa wanawake, yalikuwa makubwa mno. Ilidhaniwa kuwa hatimaye sauti ya mwanamke ingesikika, na siyo tu kusikika bali pia kuleta mabadiliko yenye tija, huruma, ufanisi na hekima...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia ameamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500 akisema "Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia"

    Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia ameripotiwa kuamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500, akisema, "Ikiwa Waafrika wanahitaji visa kuingia Marekani, basi Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia". Kuanzia tarehe 1 Aprili 2025, raia wa Marekani sasa wanahitajika kupata visa...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wa Kidini. Je, mwanamke anaweza kuwa Rais?

    Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke. Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi...
  11. kaputula

    JamiiForums Tanzania Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama

    Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu mwingine mzalendo mwenye maarifa na jasiri kama Magufuli ili kuweza kugombea na kuchukua urais wa...
  12. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani waliamua wasimchague Rais mwanamke kuwaongoza?

    Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

    Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu. Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wamarekani wako tayari kuongozwa na mwanamke?

    Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla, yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia? Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie Nov 4!
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Historia inaweza kutusaidia kuijua sasa na kesho- Rais Ford alitabiri ujio wa rais mwanamke

    https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU United States well I hope we do have a 0:57 young lady at some point become 1:00 president of the United States I can 1:06 tell you how I think it will happen 1:09 because it won't happen in the normal 1:16 course of events either the Republican 1:20...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  17. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kama Mwanaume akigombea Urais Mgombea Mwenza awe mwanamke

    Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika serikali ya Kenya Kwanza kwa ujumla. Katika uzinduzi wa Mkakati wa Baraza la Magavana Wanawake G7 jijini...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?

    Leo ni siku ya Wanawake duniani Kwanza hongera kwa wanawake wote duniani kwa kuadhimisha hii siku yao. Leo kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni swali " Baada ya Watanzania kumchagua rasmi Rais mwanamke, Uchaguzi Mkuu wa...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Wanabodi Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
Back
Top Bottom