viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge viti maalum mwenye umri mdogo zaidi akiomba kura aahidi kuwasemea vijana kuhusu ajira

    Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Lightness Greyson Kihombo (23), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwania mojawapo ya nafasi sita kwa upande wa Tanzania Bara. Lightness, ambaye ni mgombea mwenye...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara

    Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtangazaji wa Clouds TV "Kijah Yunus" aliyemchapa Maswali ya Uchonganishi Lissu mpaka wakazenguana, ateuliwa viti Maaalumu Lindi

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema leo na kusomwa mbele ya waandishi wa habari...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Lucy Kombani na Sheila Lukuba waongoza kura ubunge viti maalum mkoa wa Morogoro

    Mchakato wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani Morogoro umekamilika, huku Lucy Kombani akiongoza kwa kupata kura 1,314 kati ya kura halali 1,646 zilizopigwa, akifuatiwa na Sheila Lukuba aliyepata kura 597. Katika mkutano huo...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe Arusha wafanya yao kura za maoni viti maalum, Catherine Magige atupwa nje

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Juliana Shonza aongoza kura za maoni viti maalum Songwe

    Bi. Juliana Shonza, aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni baada ya kupigiwa kura na wajumbe kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani humo. Akitangaza matokeo hayo Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Antony Mtaka, amesema...
  7. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

    Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20... Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshiu autaka ubunge wa Viti Maalum vijana

    Mjumbe wa baraza la Umoja wa Vijana wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam @dorcasmshiu amechukua fomu ya ubunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuakisi nyanja ya sayansi na teknolojia, kusaidia vijana kupata fursa mbalimbali na kufikisha hoja za...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum UWT Kata ya Nachingwea, Lindi

    Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salha Mwinjuma Achukua Fomu ya Uwakilishi Viti Maalum Kundi la Vijana, Unguja

    Salha Mwinjuma Achukua Fomu ya Uwakilishi Viti Maalum Kundi la Vijana. Amechukua fomu 28.06.2025 katika ofisi za UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja. Source: Bongo 5
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dhana ya viti maalum na nafasi ya kweli ya mwanamke kwenye siasa

    DHANA YA VITI MAALUM NA NAFASI YA KWELI YA MWANAMKE KWENYE SIASA Wakati huu ambapo TANZANIA inajivunia kuwa na viongozi wa ngazi ya juu kabisa ambao ni wanawake – Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson – tunapaswa kujiuliza kwa dhati: je, bado kuna...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum Nachingwea

    Teddy Mayunga maarufu kama afande wa TOBOA TOBO achukua fomu ya udiwani viti maalum NACHINGWEA
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salome Makamba amechukua fomu kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Salome amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Shinyanga Habiba Musimu.
  14. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Namrinji Mnzava, mwanamke wa shoka Ajitosa kusaka ubunge viti maalum CCM Kilimanjaro

    Kuna majina manne ya wabunge wa viti maalumu(ccm)mkoa wa Kilimanjaro ambayo wanatajwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwamba watapasua tena katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama cha mapinduzi(UWT)na kuelendelea kupeperusha bedera ya CCM kwenye bunge lijalo la...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khadija Mfaume achukua fomu kuwania ubunge viti maalum Mwanza

    Khadija Mfaume Liganga, maarufu kama Dida, ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa anayewakilisha Mkoa wa Mwanza, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake kupitia Mkoa wa Mwanza. Dida ni mwanaharakati mashuhuri wa haki...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Monalisa ajitosa kwenye viti maalum kupitia UVCCM

    Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kinaendelea kukolea moto baada ya Monalisa Daniel, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM. Monalisa ambaye amejijenga na kukubalika na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Raphia Ally Kimaro, kuwania Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake mkoa wa Dodoma

    Raphia Ally Kimaro, Mjasiriamali na Mwezeshaji wa semina za ujasiriamali kwa wanawake na vijana, amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge wa Viti Maalum vya Wanawake mkoa wa Dodoma. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mbali na kuwa mbunifu wa mfumo wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mpina kukubali kuwa mbunge wa viti maalum ni kujidharilisha, sidhani atakuwa tayari kwa hilo ukiangalia wabunge wa viti maalum tulionao

    Katika mipasho ya Mama kwa Mpina, alidokeza kwamba wasimteue kugombea ubunge ili yeye amfikirie katika nafasi ya viti maalum vya Wabunge. Wenye akili tunatambua kuwa raisi alikuwa anamtafutia Mpina sehemu ya kumpasua, na Mpina akaingia kwenye kumi na nane zake. Huo mpasho haukuwa tukio la...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa viti Maalum Neema Mgaya atangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine viti maalum uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

    Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombve Neema Mgaya ametangaza Rasmi kuchukua fomu ya Kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa October 2025. Neema amesema hayo alipohudhuria baraza la UWT wilaya ya Njombe lililofanyika June 13,2025 mjini Njombe.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maria Sarungi adai kuna mpango wa siri wa kuipa CHAUMMA asilimia 7 ya kura za Urais na viti maalum 20 ili wapate ruzuku

    Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi ya wanasiasa maarufu G-55, unaolenga kukipa chama cha CHAUMMA upendeleo maalum kuelekea uchaguzi mkuu...
Back
Top Bottom