Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mbeya Bahati Ndingo Ajiuzulu, Ili Kugombea Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) amemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Jacob Mwambegele barua ya kumuarifu kuwepo kwa natasi moja wazi ya kiti cha Ubunge Viti Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mheshimiwa Spika ameandika barua hiyo kufuatia kupokea barua ya kujiuzulu kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Bahati Keneth Ndingo juzi tarehe 17 Agosti, 2023.

Mheshimiwa Bahati amejuzulu nafasi hiyo kwa mujibu wa Ibara ya 149 (1) (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Katika barua yake kwa Mheshimiwa Spika, ameeleza sobabu za kujiuzulu ni kuangalia namna nyingine ya kuwatumikia Watanzanio katika Bunge.

Ninakusudia kushiriki kwenye mchakato wa Uchaguzi Mdogo wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Mbarali unaotarajia kufanyika siku za hivi karibuni."

imeeleza senemu ya barua hiyo.
Screenshot 2023-08-19 at 12.25.20.png
 
View attachment 2721461
I believe atashinda
 
Asisahau kwamba umebakia mwaka mmoja ili twende kwenye mtifuano kati ya wagombea na "wajumbe", mtifuano wa katiba mpya, mtifuano wa CCM na CHADEMA.
 
Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) amemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Jacob Mwambegele barua ya kumuarifu kuwepo kwa natasi moja wazi ya kiti cha Ubunge Viti Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mheshimiwa Spika ameandika barua hiyo kufuatia kupokea barua ya kujiuzulu kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Bahati Keneth Ndingo juzi tarehe 17 Agosti, 2023.

Mheshimiwa Bahati amejuzulu nafasi hiyo kwa mujibu wa Ibara ya 149 (1) (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Katika barua yake kwa Mheshimiwa Spika, ameeleza sobabu za kujiuzulu ni kuangalia namna nyingine ya kuwatumikia Watanzanio katika Bunge.

Ninakusudia kushiriki kwenye mchakato wa Uchaguzi Mdogo wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Mbarali unaotarajia kufanyika siku za hivi karibuni."

imeeleza senemu ya barua hiyo.
View attachment 2721461
Huyu tamaa ya fisi itamponza. Hajui namna wajumbe watakavyompiga matukio. Niko pale niite mbwa
 
Back
Top Bottom